Waziri wa vijana na michezo : kupata kwa timu ya kitaifa kwa mpira wa mikono kwa michuano ya Afrika ni upanuzi wa Ustawi wa kimichezo unaoshuhudiwa kwa Misri
- 2020-01-28 13:20:56
Dokta Ashraf Sobhy waziri wa vijana na michezo alisistiza kuwa mafinikio makubwa yaliyohakikishwa na timu ya Misri kwa mpira wa mikono kwa ushindi wake kwa lakabu ya michuano wa kiafrika kwa mpira wa mikono na kupanda kwake kwa kikao cha michezo ya olimpiki ya Tokyo 2020 inazingatia Upanuzi wa maendeleo ya kimichezo usioshuhudiwa hapo awali unaopatikana nchini Misri sasa ,na hayo chini ya uongozi na uungaji mkubwa unaotolewa kwa Michezo ya kimisri kutoka rais Abd El fatah Elsisi rais wa Jamhuri ,ulitoa mafinikio zaidi na unaeleza sifa zake siku baada ya siku kupitia mafinikio zaidi ambayo wananchi wa kimisri wanafurahia katika michezo mengi na katika sherehe tofauti na minasaba ya kimichezo ya kibara na kidunia .
Aliashiria kuwa serkali ya kimisri kwa Uongozi wa Mhandisi Mustafa Madbuly inatia juhudi katika njia ya kutekeleza maelezo ya kisisa ili kufanya hali nzuri na kutosheleza uwezo wote na kupunguza kwa vikwazo mbele ya mashujaa wote katika michezo tofauti ili kuinua bendera ya kimisri juu katika minasba tofauti .
Sobhy alisistiza kuwa roho na juhudi na ufundi tofauti kwa wachezaji wa timu ya kimisri kwa mpira wa mikono kupitia mashindano yake kwa michuano wa kiafrika zilikuwa kitu kinachohimiza kwa mafanikio makubwa yale .
Imeamuliwa kuwa waziri wa vijana na michezo Dokta Ashraf Sobhy anapokea ujumbe wa timu ya kimisri kwa mpira wa mikono utakaofikia mnamo saa tisa na nusu mchana ya kesho ya jumatatu katika uwanja wa ndege wa Kairo .
Timu ya Misri kwa mpira wa mikono iliweza kushinda mwenzake wa Tunisia kwa 22_27 ili kupata lakabu ya michuabno ya kiafrika na kudhamini kufikia olimpiki ya Tokyo 2020
Comments