Vijana na michezo inatangaza uzinduzi wa mkutano wa mipango ya kiarabu na kiafrika kwa ziara ya piramidi
- 2020-01-29 21:27:22
Mkutano wa hatua za kiarabu na kiafrika
Wizara ya vijana na michezo kupitia idara kuu kwa mipango ya kitamaduni na kujitolea ilitangaza uzinduzi wa hatua za kiarabu na kiafrika wizara ilianza mkutano huo kwa ziara ya piramidi kwa ujumbe ulishiriki na mkutano hufanyika katika nyumba ya mamlaka ya uhandisi wakati wa mpango ambao, shughuli zake zinaendelea hadi mwisho wa mwezi huu.
Mkutano huo unakuja katika mfumo wa msaada wa nchi ukiwakilishwa katika wizara ya vijana na michezo kwa mipango ya vijana wa kiarabu na shime yake ya kuzingatia jukumu tendaji la vijana katika maendeleo ya jamii na taasisi za kimataifa.
Na nchi nyingi za kiarabu na kiafrika hushiriki katika mkutano huo (Iraq-Saudi Arabia-Burundi-Sudan-Nigeria- Ghana-Morocco-Djibouti-Senegal-Kamerun-Niger-Malawi-Liberia-Uganda na Misri).
Wajumbe wanaoshiriki walisifu jukumu la wizara ya vijana na michezo katika msaada vijana wamisri na waafrika na mapokezi ya ajabu sana tangu walifika Misri wakati wa mkutano wa kutambulishana umefanyika kati ya wajumbe wanaoshiriki wanapofika, wakisisitiza kwamba mipango ni msingi wa mafanikio na uundaji wa maarifa makubwa ya kitamaduni, kisanii na ubunifu.
Wakaongeza wanahisi salamu nchini Misri na wameonyesha furaha yao kwa piramidi na sanamu la Abu Elhol ingawa hii haikuwa ziara ya kwanza kwa baadhi yao lakini walisema kila ziara unapaswa kuvutiwa.
Wizara ilifanya warsha ya jinsi ya kuandaa mpango kamili kwa ajili ya kutatua matatizo ya kijamii kwa kutumia teknolojia (ubunifu wa kijamii) kisha kufikia Ujasiriamali wa kijamii ambapo ilitolewa na Dokta Nezar sami mshauri wa Uvumbuzi na Ujasiriamali.
Comments