Algeria inafikia mashindano ya Buchi kwa michezo ya kiafrika kwa olimpiki ya walemavu

 Wachezaji wa timu ya Algeria wanafikia mashindano ya kundi  la nne katika mchezo wa Buchi (wavulana na wasichana )  yanayofanyawa miongoni mwa michezo ya kiafrika kwa olimpiki  inayokarbishwa kwa  Misri kupitia muda kutoka 23 mpaka 30 katika mwezi  huu wa Januari. 


Mwalgeria Husein Pazed alishinda medali ya dhahabu katika mashindano (wavulana ) ,pia mmorocco Hassan Alaa alishinda  nafasi ya pili na medali ya fedha na Mtunisia Alyas Mohamed alihakiksha medali ya shaba .


Boghdada Gena kutoka Moresheos alishinda  medali ya dhahabu katika mashindano (wasichana ) ,na mchezaji wa Misri Waala Abdelmtlb alihakiksha  medali ya fedha ,Mtunisiai  Rahma Blhag alishinda  medali ya shaba ,pia Msudan Arwa Salah na Mmisri Fatma Mohamed Ali walipatia heshima ya ushirki .


Sherehe za kutawazwa kwa wachezaji zilifanyawa baada ya kumaliza mashindano na Dokta Amad Mohye na Dokta Amad Elfoly walizihudhuria kiasi kwamba  walitawaza wachezaji walioshinda .

Comments