Bao la ( Trezeguet ) linaongoza Aston Villa kwenye fainali ya kombe la Muungano kwa mara ya kwanza tangu miaka kumi

Bao la mchezaji Mmisri wa kimataifa ( Mahmoud Hassan Trezeguet ) mnamo dakika ya mwisho limeiwezesha timu yake Aston Villa kuhakikisha ushindi 2-1 dhidi ya Lester City na kufikia fainali ya kombe la Muungano wa klabu za Uingereza.


Timu mbili hizo zimehakikisha usawa katika mechi ya zamu ya kwanza kwa bao moja kwa kila timu.


( Mahmoud Target ) alifunga bao la kwanza kwa masilahi ya Aston Villa baada ya dakika 12 mwanzoni mwa mechi, kisha ( Kelitshi Ehanacho ) alifunga bao la usawa kwa masilahi ya Lester City mnamo dakika 72.


Mchezaji Mmisri wa kimataifa ( Mahmoud Hassan Trezeguet ) aliingia kama mbadala mnamo dakika 77 ili afunge bao la ushindi kwa masilahi ya timu yake mnamo dakika ya mwisho ya wakati asili kupitia  kutoka mwenzake ( Ahmed Almohamdy ) ili kuongeza Aston Villa kwenye fainali ya kombe la Muungano baada ya kutokuwepo kwa miaka kumi tangu fainali ya mwisho, ambapo Manchester United ilishinda Aston Villa.


Timu ya Aston Villa ilishinda lakabu ya kombe la Muungano mara tano, mara ya mwisho ilikuwa mnamo mwaka wa 1996 dhidi ya Leads United.

Comments