Mashindano magumu katika mwisho wa riadha ( michezo yenye nguvu ) na Misri ishinda dhahabu ya mita 200

Imeshuhudiwa siku ya mwisho kwa mashindano ya  riadha ( michezo yenye nguvu ) katika michezo ya kwanza ya kiafrika kwa olimpiki maalum yanayokaribishwa nchibi Misri kutoka januari 23 hadi 31 chini ya Uangalifu wa Mheshemiwa Rais Abd El fatah El sisi Rais wa Jamhuri kwa ushiriki wa nchi 42 za Afrika .


Leo imeshuhudia mashindano magumu na katika mashindano ya mita 150 kundi la kwanza Mkenya Stelin shakuokzia amefikia nafasi ya kwanz na shujaa wa Malawi Lima Spolia alifikia nafasi ya pili na  mkenya Arin niyat alifikia nafasi ya tatu.


Katika kundi la pili kwa wanaume kwa mashindano yale yale mkenya Onsans  alifikia nafasi ya kwanza na mtunisia Khaled majloul alifikia nafasi ya pili na Sadeb Bandibu alikuja kwenye nafasi ya tatu.


Katika mashindano ya mita 200 kutoka kundi la kwanza kwa wanaume Sambl chiba bingwa wa Aswatiny alifikia nafasi ya kwanza na kutoka Cote de lvoir Zihu Sengu alifikia nafasi ya pili na mtunisia loay Rizky anakuja kwenye nafasi ya nne.


Katika kundi la pili  mghana Akwsa Ponsa alipata nafasi ya kwanza na mBurkina Faso Abdoul Safarhini alifikia  nafasi ya pili na  bingwa wa Tanzania Kalifani Gahidi alifikia nafasi ya tatu.


Katika kundi la tatu Amtrosi Tele katika alikuja kwenye nafasi ya kwanza ,Basembeh Koike bingwa wa Ghana nafasi ya pili na mtunisia Ramzi Hamami alifikia nafasi ya tatu.


Katika kundi la nne bingwa wa Iswatini Milion Dinii alikija katika nafasi ya kwanza na Ali Mohamed Gas bingwa wa Dejibouti katika nafasi ya pili na park Dista bingwa wa Ethiopia alifikia nafasi ya tatu.


Katika kundi la tano alikuja Abu bakr manila wa Mouritania  kwenye nafasi ya kwanza na Omar sadibi nafasi ya pili na  mwishoni bingwa wa Ghana alifikia nafasi ya tatu.


Katika kundi la sita Moataz mohamed Elghohary  alifikia nafasi ya kwanza ,Mohamed Elkantaoui bingwa wa Mouritania alikuja kwenye  nafasi ya pili na AlBaza Ismail bingwa wa Afrika kusini  alifikia nafasi ya tatu.

Comments