Dokta Ashraf Sobhy waziri wa vijana na michezo amekutana na chombo cha kiufundi kwa timu ya olimpiki kwa mpira wa miguu kinachoongozwa na Kocha Shawki Gharib,kwa mahudhurio ya Amr El-ganaini mkuu wa kamati ya Khomasia kwenye shirikishp la mpira kwenye Diwani kuu la wizara ya vijana na michezo,na hivyo kwa kujadili matayarisho ya timu kwa olimpiki ya Tokyo 2020.
Waziri wa vijana na michezo amesikia maelezo wazi kwa programu ya timu ya kitaifa chini ya miaka 23 mnamo kipindi kijacho,na msimamo wa wachezaji wa timu ya olimpiki baada ya michuano ya Afrika.
Na kutoka upande wake Waziri wa vijana na michezo amesisitiza kwa matayarisho mema kwa Tokyo 2020 ili kuinua jina la Misri juu, akieleza kwamba atatosholeza mahitaji yote ya timu na vifaa vya kiufundi kwa ajili ya ndoto ya medali ya Olimpiki.
Kama Kocha Shawki Gharib ameeleza kwamba timu ya Olimpiki inahitaji idadi kadhaa kutoka mechi za kimatifa kwa kupitia vipindi vya kusimamia vya kimataifa mnamo miezi ya Machi na Juni na kabla ya kusafiri kuelekea Tokyo,aliashiria kwamba mwanzo wa mashirikiano dhati kwa timu kutoka 23 Julai 2020.
Gharib amesisitiza kwamba kifaa cha kiufundi mnamo kipindi kijacho kitafanya mikutano na wachezaji ili kuvijua viwango vyao vya kiufundi pamoja na klabu zao na matayarisho yao kwa ndoto ya Olimpiki.
Na mkuu wa kiufundi kwa timu ya Olimpiki ameeleza shukurani yake kwa uongozi wa kisiasa na waziri wa vijana na michezo ili kurahasisha vikwamizi vyote na kutosheleza usaidizi wa kihisi kwa wachezaji uliokuwa miongoni mwa sababu ya kuwepo wachezaji katika viwango vyao va juu huko michuano ya Afrika.
Comments