Dokta Ashraf sobhy yumo ndani mazungumzo wazi kwenye maonyesho ya kimataifa ya Kairo kwa kitabu
- 2020-02-01 23:28:21
Dokta Ashraf Sobhy waziri wa vijana na michezo Leo Alhamisi alikutana na kikundi cha vijana waliohudhuria maonyesho ya kimataifa ya Kairo kwa kitabu katika mkutano iliofanyika katika ukumbi wa vijana wa kiafrika kwenye maonyesho ya kimataif ya Kairo kwa kitabu, kituo cha Almanara kwa mikutano ya kimataifa kwa mahudhurio ya kikundi cha mabingwa wa michezo.
Shughuli za kikao cha 51 cha maonyesho ya kimataifa ya Kairo kwa Kitabu hufanyika mnamo kipindi cha Januari 22 hadi Februari 4 chini ya Jina la Misri Afrika "Utamaduni wa Utofauti" , Senegal itakuwa mgeni wa heshima katika kikao hicho.
mwanzoni mwa hotuba yake, waziri wa vijana na michezo alionyesha imani yake katika umuhimu na jukumu la kitabu katika kusambaza maarifa , utamaduni na elimu ndani ya jamii, akiashiria ushirikano Kati ya wizara za vijana na michezo na utamaduni katika kuongeza utamaduni kwa masuala tofauti Kati ya vijana kwenye mikoa yote.
Alisisitiza kwamba Taasisi za nchi ya kimisri hufanya Kazi kamili kwa huduma ya vijana kulingana na mkakati mkuu kwa nchi uliwekwa kwa uongozi wa kisiasa , akiashiria changamoto kubwa zinazoikabili nchi na kukabili Kwake kunahitaji imani kamili Kutoka vijana katika nchi yao na kuchangia kwa majukumu yao kikamilifu.
Dokta Ashraf alielezea kuwa mkakati wa wizara ya vijana na michezo unazingatia kujumuika Kati ya sekta ya vijana na michezo , na kufanya kazi kugundua vipaji vya michezo, kusaidia mabingwa wa Misri na kuelekea kueneza mazoezi ya michezo katika jamii.
Wakati wa mkutano nafasi ya kutoa Maswali ilianza kuhusu mwelekeo wa nchi Kwa kuwawezesha vijana , wafundishe, jukumu wizara ya vijana na michezo kuwa uandaaji wa wanariadha na kuwa tayari kwa olimpiki ijayo kwa njia za kusaidia wenye uwezo Maalum.
Katika majibu yake , waziri wa vijana na michezo alielezea kuwa siasa ya kazi katika wizara inategemea tathmini ya Mara kwa Mara ya mipango na miradi inayotekelzwa na Kupima matokeo yake na kuhakikisha kufikia matumizi bora, na ushiriki wa Idadi kubwa ya vijana na kuvutiwa katika sekta ya ubingwa na sekta ya maendeleo ya kimichezo.
Dokta Ashraf Sobhy alionyesha kuwa uwezeshaji wa vijana unaonekana wazi katika taasisi tofauti nchini, na hii kulingana na shime wazi ya uongozi wa kisiasa unaoongozwa na Mheshemiwa Rais Abd El fatah Elsisi Rais wa Jamhuri,katika kuwawezesha vijana na kuwaandaa kwa uongozi, akielezea umuhimu wa dhamira ya vijana kuendelea na kusistiza mafanikio na ubora.
Waziri alizungumzia mafanikio mashuhuri inafanikiwa ya mabingwa wa Misri katika michezo tofauti na kuandikwa katika rekodi ya michezo ya wamisri akiashiria mradi unaoshikiliwa kwa Wizara katika mradi wa kitaifa kwa vijana, Vipaji na Bingwa wa olimpiki kwa ajili ya kugundua vipaji kulingana na vipimo sahihi vya kisayansi kuunda mabingwa wa wanariadha wanaotarajiwa.
mkutano wa mazungumzo ulihudhuriwa na mabingwa wanariadha “Ziad El Sisi, mchezaji wa timu ya kitaifa kwa Silaha , Aya Ayman Abbas , bingwa wa Paralympic Katika kuogelea, Shimaa Samy bingwa wa paralympic katika michezo yenye Nguvu, Mohamed Amer bingwa wa timu kwa silaha ya Upanga, Mohamed Ibrahim Kisho bingwa wa timu ya Misri kwa Mieleka , Haida Hosny mchezaji wa timu ya Misri kwa Manyoya ,Jeana Farouk mchezaji wa timu kwa Karate, na hayo kupitia mfumo wa kuzindua mpango wa wanariadha wakisoma.
Comments