Waziri wa vijana na michezo anawapa heshima watu waliojitolea kwa mataifa ya Afrika kwa Soka chini ya umri wa 23
- 2020-02-01 23:29:30
Dokta Ashraf Sobhy,waziri wa vijana na michezo aliwapa heshima vijana wa Misri waliojitolea na waliochangia uandaaji wa mashindano ya kombe la mataifa ya Afrika kwa Doka chini ya umri 23, na yaliyofanyika nchini Misri mnamo kipindi cha terehe 8 hadi 22 Novemba 2019. Na hivyo kwa kuhudhuria mkurugezni wa kamati ya kitano iliyoongoza umoja wa Soka ya Misri Amr Al-Ganainy na idadi ya viongozi wa wizara la vijana na michezo.
Waziri wa vijana na michezo aliashiria uungaji mkono mkubwa wa Rais Abd El-Fatah El-Sisi kwa Mashindano ya Kombe la Mataifa ya Afrika. Na pia alibainika juhudu kubwa zilizofanywa kwa kuhakikisha mafanikio makubwa hayo. Na alizingatia kwa kila mtu alifanya bidii yake kubwa ili mashindano hiyo ilionyesha bora zaidi.
"Sobhy" aliwashukuru vijana waliojitolea waliokuwa kama mfumo mzuri wa kiustaarabu kwa kufanikiwa kwa ubingwa, na kusifu utendaji wao unaotambulika, ulioonyesha picha halisi ya Misri na vijana wake, akisisitiza kwamba wizara imetegemea sana kwa kujitolea kwa vijana katika hafla nyingi za kimataifa za michezo zilizopangwa na Wamisri.
Mwishoni mwa kauli ya Sobhy alisema “ tunathamini jukumu lako kubwa. Nyinyi ni msingi wa Usalama na washiriki katika mafanikio.
Ilitajwa kuwa Misri iliandaa mashindano ya Komble la Mataifa ya Afrika chini ya umri 23, na timu ya mafarao ilishinda mashindano hayo katika toleo lake la tatu,baada ya kuishinda timu ya Ivory Coast kwa mabao mawili kwa moja mnamo mwezi wa Novemba, na hivyo alifikia michezo ya Olimpiki mjini Tokyo msimu ujao.
Comments