"Tiketi yangu " fomu mpya ya kununua tiketi za michezo ya kombe la mataifa ya kiafrika.

 Wapenzi wa mpira wa kiafrika wanajiandaa kwa kununua tiketi za michuano inayofanyika nchini Misri mnamo kipindi cha 21 Juni hadi 19 Julai zijazo, na mnamo wiki hii kampuni moja ya kitaifa ya kimisri inazindua tovuti na fomu mpya kwa jina la "Tiketi yangu" na itakuwa kwa kutoa huduma kwa mashabiki, na tovuti itakuwa njia kuu ya kupata tiketi za michezo za michuano ya kombe la mataifa ya kiafrika 2019 inayofanyika nchini Misri ambapo mnamo yake yeyote anaweza kupata tiketi, na inayoamuliwa kwamba baada ya kumalizika michuano tovuti itatumika kwa kununua tiketi za michezo tofauti na sherehe, na tume inayoandaa kombe la mataifa ya kiafrika imeamua kutoa tiketi kwenye mitandao ili kumalizika Soko haramu na Uhodhi wa baadhi ya watu kwa tiketi.

 

Kwa upande mwingine, tume ya mashindano kwenye Shirikisho la Soka kwa Uongozi wa "Amer Hussen" iliamua kuruhusu kwa klabu za kombe kupata mikataba mipya itakayofungwa pamoja nao katika mikutano ijayo mnamo michuano, ili kuzuia kufanya ushindano pamoja na klabu khasa misingi miwili ya mpira wa kimisri (El Ahly na El Zamalek) na tume ya mashindano  iliainisha miadi ya kukamilika michuano ya kombe la Misri kwa msimu huu ili ifanyike kabla ya Ligi ya msimu mpya kama iliyofanyika katika msimu wa 2014-2015.

 

Na katika wakati ule ule, mashirika ya usalama yalikubali mahudhurio ya mashabiki elfu  thelathini (30000) kwa michezo miwili ya urafiki ya timu ya Misri mbele ya Tanzania na Ghenya itakayoundwa siku za 13na16 Juni ijayo kwa utaratibu, ili kuandaa kwa kombe la mataifa ya kiafrika 2019,kwa kujua kwamba uwanja wa (Borg Elarab) utakaribisha michezo miwili ya urafiki.

Comments