Dokta Ashraf sobhy waziri wa vijana na michezo na Balozi Anne Melina Munoz de Gaviria, Balozi wa Colombia kwenye Jamhuri ya kiarabu ya Misri wamejadili Njia za ushirikano wa pamoja na wizara ya michezo ya Colombia Katika kipindi kijacho na Wakati wa mkutano uliofanyika Leo na waziri wa michezo na vijana katika ofisi ya wizara na Balozi mpya wa Colombia.
Mkutano ulilenga ushirikano Kati ya nchi hizo mbili Juu ya mipango na miradi ya vijana na michezo na kutekeleza mipango ya vijana Kati ya pande mbili pamoja mpango, shughuli, mikutano na habari pamoja zinazoongeza njia za mawasiliano na kubadiliana tamaduni Kati ya vijana wa wamisri na colombia pamoja na uwezekano wa kubadiliana uzoefo Kati ya Misri na Colombia katika uwanja ya vijana na michezo.
Mkutano Huo ulijadili mihimili mashuhuri zaidi ya mkataba wa uelewa katika uwanja wa michezo Ili kusomwa na kusainiwa mnamo kipindi kijacho na wizara ya michezo katika Jamhuri ya colombia na inawakilishwa katika mafunzo ya wanariadha na timu , msaada wa kiufundi kwa makocha , mwenyeji wa kambi za michezo , mapokezi ya ujumbe wa michezo , shirika la mashindano na hafla za kimataifa za michezo.
Dokta Ashraf Sobhy alisisitiza Juu ya Kina cha mahusiano Kati ya Misri na Colombia katika viwanja tofauti aliashiria siasa ya wizara ya vijana na michezo ya Misri kuongeza njia za ushirikano na nchi tofauti katika uwanja ya vijana na michezo katika mfumo wa maagizo ya uongozi wa kisiasa ili kuimarisha uhusiano wa kidiplomasia na kubadiliana uzoefu na nchi nyingine.
Waziri wa vijana na michezo alielezea kuwa utafiti kamili utafanywa kwa fursa zinazopatikana ili kutekeleza mipango na miradi ya vijana na michezo pamja Colombia kipindi kijacho na kusaini itifaki ya ushirikano ya Kuchangia utekelezaji hii na kuchukua hatua zinazohitajika katika Suala hili.
Comments