Waziri wa michezo anaheshimu mwenyekiti wa kamati ya mawasiliano kwa mashindano mawili ya Afrika kwa watu wazima na vijana
- 2020-02-01 23:39:50
Dokta Ashraf Sobhy waziri wa vijana na michezo amemheshimu Dokta Ahmed El shikh mkuu wa idara kuu kwa Ofisi ya waziri na mwenyekiti wa kamati ya mawasiliano kwa mashindano mawili ya Mataifa ya Afrika kwa wazima na vijana chini ya miaka 23 , kwa juhudi zake zilizosifwa na wote walikuwa wakifanya kazi katika mashindano sawa ni taasisi zinazoshirikiana pamoja na wizara ya vijana na michezo au kamati kuu tofauti.
Hii ilikuja kwa mahudhurio ya kamati ya washiriki watano kwa Uongozi wa Shirikisho la Soka lililoongozwa na Amr El Ganaini na Mohamed Fadl nyota wa zamani wa klabu ya Al-Ahly na timu ya Misri.
Dokta Ahmed El-shikh mwenyekiti wa kamati ya mwasiliano ya kiserikali alisisitiza kwamba aliheshimiwa kuwa mwenyekiti wa kamati, kwa amri na waziri wa vijana na michezo , na idadi ya vijana wazuri toka wizara, kwa ajili ya kuchukua jukumu la utaratibu ya serikali kati ya kamati za mshindano mawili na wizara na mashirika ya kiutendaji nchini, akielezea furaha yake kwa mafanikio makubwa kwa kamati iandaayo mataifa ya Afrika na kamati ndogo zote , pamoja na kamati ya mwasiliano ya kiserikali.
El Sheikh aliongezea kuwa mashindano haya hakuna mtu yeyote, mchezaji,na mgeni alihisi kuwepo kwa migogoro na hii ni cheti kikubwa sana kwa mafanikio makubwa kwa kamati iandaayo , akisisitiza kwamba wote walikuwa wakifanya kazi kwa furaha na roho ya timu kwa masaa 24 lli kuonekana kwa sura ya heshima, na tunamshukuru Mwenyezi Mungu kwa mafanikio haya yanayoongezeka kwa nchi kale ya Msiri.
Comments