Wizara ya Vijana na Michezo " inaunda warsha ya kazi kwa wataalamu wanaohusikia Elimu na Masuala ya kiafrika
- 2019-04-01 15:16:18
Wizara ya Vijana na Michezo " inaunda warsha ya kazi kwa wataalamu wanaohusikia Elimu na Masuala ya kiafrika ; ili kutoa mwongozo wa kimafunzo kwa vizazi vya Mustakbali.
kwa uongozi wa Dokta Ashraf Sobhi, wizara ya vijana na michezo ya ( usimamizi mkuu wa vizazi vitakavyokuja - ofisi ya vijana wa kiafrika) imeshaunda warsha kwa wataalamu wanaohusikia Elimu na Masuala ya kiafrika ; ili kuandaa mwongozo rahisi wa kimafunzo; ili kueneza Maadili ya kiafrika na kutambulisha bara la Afrika.
Na warsha hii ilihudhuriwa na : Dokta "Eglal Abd Elhalim, mwakilishi wa umoja wa kiafrika na mhusika wa vyombo vya habari na kiutamaduni kwa chuo kikuu cha nchi za kiarabu".
Dokta " Eman Mahran, profesa wa chuo cha sanaa ".
Dokta" Dalila Kabhal, rais wa umoja mkuu wa waalgeria
nchini Misri ".
Dokta"Salah Arafa, profesa katika chuo kikuu cha
Marekani katika Kairo".
Bibi Azaa Eldory, rais wa usimamizi mkuu kwa vizazi
vitakavyokuja katika wizara ya vijana na michezo ".
Na Bwana Hassan Ghazali, Naibu wa rais wa umoja wa kiafrika,
na mratibu mkuu wa ofisi ya vijana wa kiafrika ndani ya wizara, pamoja na
vijana watafiti kadhaa, na wanaohusikia Elimu na Masuala ya kiafrika.
Na warsha hii imezungumzia viwango vya kutoa vijitabu
viwili, kimoja chao kinakusanya Mada za kielimu za watoto, na kingine
kinakusanya Maelekezo ya Kocha, imezungumzia Mada ya Mwongozo wa kimafunzo,
unaojumuisha Utambulisho wa Misri ya kiafrika, na uhusiano wake kwa bara la
giza, kupitia maudhui inayokusanya vyanzo vya kiutamaduni, kijiografia, na kihistoria
kwa bara, pamoja na kuzitambulisha Tamaduni, Ada, na Desturi tofauti, kuonyesha
Misingi inayohusu kuheshima mwingine, na kumkubali na Kuangalia wazo la
Ushirikiano na wazo la tofauti, linalosisitiza Fahari yao kwa kuwepo kwao ndani
ya bara na Hisia zao za majukumu yao kwake, na dharura ya kuhangaika kuelekea
maendeleo yake.
Na inayopaswa kutajwa hapa ni kwamba, Mwongozo ule unalenga
kwa kuunganisha Maadili kwa nchi za kiafrika katika mifumo yake ya kielimu, na
kimafunzo; ambapo wizara ya vijana na michezo inafanya kozi za kimafunzo
zinazolenga wenye umri wa nane "8" hadi kumi na nane"18",
na shughuli ya mafunzo zitafanyikwa na Wakufunzi Hamsini"50" katika
Mikoa kumi "10" katika awamu yake ya Kwanza nayo ni: Kairo, Giza,
Qalubia, Suez, Aswan, Fayoum, Gharbia, Ismailia, Aleksandria, Behera, na Minya.
Comments