Naibu wa rais wa shirikisho la kimisri kwa mpira wa miguu: kombe la mataifa ya Afrika litatangazwa kikamilifu kwenye idhaa ya kimisri


Bwana Ahmed Shuber"Naibu wa rais wa shirikisho la kimisri kwa mpira wa miguu "alisisitiza kwamba michuano ya mataifa ya Afrika 2019, na mechi za kuandaa timu ya kimisri zitatangazwa kikamilifu kwenye idhaa moja ya kimisri, na kwenye tovuti ya kimisri ya "Yala Kora" Shuber alisema kwamba :"Michuano ya mataifa ya kiafrika yatatangazwa kikamilifu kwenye idhaa ya kimisri na wachambuzi na nyote wamisri"

Inatajwa kwamba Runinga ya kitaifa Ina haki ya kutangaza mechi yoyote ya michuano ya mataifa ya kiafrika wakati wa kukaribisha kwake mbele ya gharama ndogo inayotolewa kwa Umoja wa kiafrika wa mpira wa miguu (Kaf)  kwa kila mechi. 


Na Shuber aliendelea kauli yake : idhaa binafsi itatangaza mechi za Ghenya na Tanzania mnamo awamu ya kuandaa timu ya kimisri kuelekea michuano,  pia kutakuwepo maonyesho yake kwenye idhaa. 

Na michuano ya mataifa ya Afrika 2019 yanafanyika huu ya ardhi ya Misri mnamo kipindi cha 21 Juni hadi 19 Julai.

Comments