Wizara ya vijana na michezo inamaliza matukio ya mkutano wa mipango ya kiarabu na kiafrika
- 2020-02-03 13:30:15
Mkutano wa mipango ya kiarabu na kiafrika .
Wizara ya vijana na michezo kupitia idara kuu kwa mipango ya kiutamaduni na kijitolea ilitangaza kumaliza kwa matukio ya mkutano wa mipango ya kiarabu na kiafrika ,iliyofanyawa katika nyumba ya mamlaka ya uhandisi ,mnamo kipindi cha 26_31 mwezi wa Januari uliopita ,kwa mahudhurio ya Meja Jenerali Mohamed Noor mkurgunzi mtendaji kwa wizara , Bibi Amany Dragham mkurgunzi wa gazeti la (Alakhabar ) ,Mohamed Azam mjumbe wa baraza la idara ya jumuia ya kitaifa kwa idara ya teknolojia na Dokta Nazar Samy mshauri wa ubunifu ,Ujasiriamali ,jumbe
za nchi za kiarabu na kiafrika zinazoshirki katika mkutano na wakubwa wa wizara .
Kwa ushirki wa nchi (Iraq ,Soudi Arabia ,Broundi ,Sudan ,Nigeria ,Ghana ,Gambea ,Morocco ,Djbouti ,Senghal ,Kameron ,Niger ,Malawy ,Leberea ,Uganda na Misri ).
Vijana wa kiarabu na kiafrika kupitia mkutano huu walisisitiza kwamba wao wanachukua jukumu ,ubunifu na kazi ya kamili na kimaendeleo ,na hii kupitia kazi zaidi katika mipango inayolenga kuendeleza nchi .
Mipango inayoshinda ilikuja ,nchi ya Chad ni nafasi ya kwanza ni mpango wa baraza la ushauri wa kitaifa , kimisri na kichadi inashughulikia watoto wa barabara ,ambapo Misri ilipata nafasi ya pili kwa mpango wa Wamed ,Saudi Arabia ilipata nafasi ya tatu kwa mpango wa Ghson Ryadia, na ujumbe ulipatia tuzo ya ujumbe mshiriki mzuri zaidi kwa kuheshima miadi na nyakati.
Ujumbe unayoshirki ulielezea furaha yao kubwa kwa mkutano huu na wizara ya vijana na michezo ya kimisri ilishukuru walioandaa matukio kwa uzuri wa kuandaa na kukarbishwa na Misri ,pia kwa kupatikana nafasi za vijana wa kiafrika na kiarabu ili kueleza kuhusu maoni yao na kutoa mipango yao .
Comments