kuhitimu kwa kundi la tatu kutoka programu wa urais ili kuwawezesha vijana kwa kuongoza

Dokta Rasha Ragheb mtendaji wa chuo cha kitaifa kwa mazoezi , alisema kwamba vijana ya programu ya urais ili kuwawezesha vijana wa Afrika kwa kuongoza na alisisitiza kwamba wao ni mustakbali wa Afrika kwa bora zaidi kupitia maarifa na njia ya kujifunza.


Aliongeza katika taarifa pembezoni mwa sherehe ya kuhitimu kundi la tatu,kwamba  sherehe  imeshuhudia kuhitimu kundi la tatu miongoni mwa kundi 10 kupitia na uamuzi wa urais ili kuwawezesha vijana wa Afrika kwa kuongoza,ambapo kundi la tatu inajumuia vijana 94 kutoka madola 37 ya Afrika.


Ragheb ameongeza kwamba kwa hivyo ilijumuisha madola 45 miongoni mwa madola 54 ya Afrika, wakiendelea hadi kundi la kumi ili kujumuisha madola yote ya Afrika.


Akifuata kusema:vijana wa Afrika walizoea kwa wenzao kwa changamoto zinazopambana bara la Afrika na Afrika 2063 na maendeleo endelevu na kumwezesha mwanamke ,kuzingatia kwamba vijana wanaweza kujadili migogoro ya nchi zao.


Akihitimu kauli zake akisema:leo vijana wa Afrika wanahitimu kutoka jumba la Mohamed Ali na waliona mabaki ya kale ya Misri waliyoyasikia,na sisi tulikuwa na hamu kwa kuwaonyesha  miradi y kisasa nchini Misri kama mfereji wa suez.


 Chuo cha kitaifa kwa mafunzo kimepanga sherehe ya hitimu ya kundi la tatu kutoka programu ya urais ili kuwawezesha vijana wa Afrika kwa kuongoza katika jumba la Mohamed Ali mjini Kairo,ambapo idadi ya wahitimu ilifika vijana 94 kutoka madola 37 ya Afrika.na programu imekusanya kuonyesha video kwa Ajenda ya Afrika 2063.


Kupitia sherehe , Dafina kutoka Morotania na Deima kutoka Uganda walizungumzia ambapo wameeleza heshima yao kwa chuo na programu na manufaa ya kweli yaliyotolewa kwao na uzoefu ambapo watauhamisha kwa nchi zao baada ya kurudi kwao,baadaye kuonyesha video ina picha muhimu kutoka majaribio yao pamoja na programu,na akihitimu sherehe kwa kupata vyeti na kupiga picha za kumbukumbu.


Mada za utafiti mnamo kipindi cha programu iliyofikia wiki tano, zimejumuia ufarisi wa kuongoza,na ufarisi wa kuzungumza,masoko ya kimataifa, Ajenda ya Afrika 2063,maendeleo endelevu,miradi midogo na katikati,namna ya kuongea kwa vyombo vya habari,na mfumo wa vyombo vya habari vya kimataifa,changamoto ya bara la kiafrika na nafasi zinazopatikana ili kuziendeleza, werevu wa kihisi na kijamii,kanuni ya kimataifa,kichumi na mahusiano ya kimataifa,Usalama wa kitaifa wa kiafrika  na mwishoni kuongoza miradi.


Kama shughuli zilizokuwa kama sehemu kutoka kuwazoea wanafunzi ya kundi la tatu zilikusanya kuandaa mfumo wa kuongoza migogoro na mfumo wa kuiga Umoja wa Afrika.


inayopasa kutajwa ni kwamba Wazo la programu ya urais ili kuwawezesha vijana wa Afrika kwa  Uongozi lilitolewa na Rais Abd El-fatah El-sisi mjini wa sharm sheikh,kama pendekezo  moja la mkutano  wa vijana wa dunia Novemba 2018,na chuo ya kitaifa kwa mafunzo kimeanza katika kulitekeleza  mnamo kipindi cha urais wa Misri kwa Umoja wa Afrika kwa nwaka 2019,ambapo Misri ni sehemu kuu kutoka bara la Afrika na zinaungana  kwa mahusiano ya ndugu,na programu inalenga kwa kuwajumuisha vijana waafrika kutoka nchi zote za bara katika programu moja ya mazoezi isipokuwa wa tofauti ya ukabila na itikadi chini ya kivuli kimoja kinacho na  lengo la Maendeleo na Amani .



Comments