"Fasihi ya Vijana wa Afrika" iko kwenye mazungumzo ya maonyesho ya kitabu cha kimataifa cha Kairo

Maonyesho ya kitabu cha kimataifa cha Kairo ,Katika Jumba la "Vijana wa Afrika",  yalipokea mkutano wa "Fasihi ya vijana wa  Afrika", ndani ya mpango wa kitamaduni wa maonyesho hayo katika kikao chake cha 51, kinachofanyika chini ya uangalifu wa  Mheshemiwa Rais Abd El  Fatah El-Sisi chini ya kauli mbiu ya "Misri Afrika ni utamaduni wa utofauti"


Mkutano huu ulizungumzwa na mwandishi  wa riwaya Saleh Issa kutoka Chad, mwandishi mchanga IbrahimGory kutoka Mali, mwandishi na mtafiti Dokta Rasha Rajab, mwalimu katika Kitivo cha  masomo ya Binadamu katika Chuo Kikuu cha Al-Azhar, mwandishi na mwandishi wa riwaya wa ubunifu Jonas Nazari kutoka Angola, na semina hiyo iliongozwa na mwandishi Dokta  Dalia Azam.


Dokta Dalia Azzam alisema: "Leo tuko hapa kwa ajili ya  kuburudika kutoka  ubunifu wa fasihi na ladha ya Kiafrika, kwa hivyo kila jamii, jinsia na rangi zinatofautiana, kila wakati kuna lugha ya mawasiliano kati yao  kama daraja la kuvuka kwenda kwa lingine, na katika mkutano  maalumu huo  ni aina ya lugha ya mawasiliano nayo ni fasihi katika aina zake nyingi na kwa dhana hii tunafurahi  Tunayo kundi la waandishi wachanga wa Kiafrika waliochangia kutengeneza daraja hii na kuwasiliana na shughuli zao zilizotofautishwa.


Azzam aliendelea kusema: "Inasimamisha kila mmoja, aina tofauti za kitamaduni zinasaidiana kupitia mawasiliano, na mchakato wa kubadilishana kitamaduni kati ya nchi kupitia fasihi ndani ya tamaduni hizi  zinazochangia kukuza mawasiliano na kukaribiana."


Dokta Dalia Azzam ameongeza: "Ikiwa maoni yamefungwa ndani ya mkoa mmoja, yamedhoofishwa, dhaifu na hurejeshwa, wakati kwenda nje kunapea fasihi nafasi ya udanganyifu kupitia maoni tofauti ambayo husaidia kuchanganyika maarifa ya kibinadamu katika hali moja bila kukomesha ubinafsi wa kitaifa, au sifa za mwingine.  Halafu hali ya ushawishi  hutokea kati ya tamaduni tofauti, ambayo husababisha hali ya kuelewana na kubadilishana uzoefu, na ushahidi bora kwa hiyo ni semina yetu leo. "


Comments