Chuo kikuu cha luxor chafanya mkutano wa kimataifa chini ya kichwa cha “Afrika na changamoto za siku zijazo
- 2020-02-05 22:23:59
Chuo kikuu cha luxor chafanya,mkutano wa kimataifa wa luxor wa kwanza “Afrika na changamoto za siku zijazo” mnamo kipindi cha 24 hadi 27 Februari na vitivo vya “ Al Alsun,Sanaa,Mabaki ya kale na Utalii” vitashiriki katika maandalizi.
Dokta Rabea Salama mkuu wa kitivo cha Alsun huko chuo kikuu cha luxor, alisema kwamba kufanyika mkutano huo kwa ajili ya kuongeza viungo na mawasiliano ya maarifa, kitamaduni na kuhamisha uzoefu kati ya nchi tofauti za bara na kufikia matokea na mapendekezo kulisonga bara la Afrika mbele mnamo siku zijazo.
alionyesha Kuwa mkutano huo unafanyika kwa ushiriki wa idadi kubwa kutoka wakuu na walimu wa vyuo vikuu vya kimisri na kiafrika, watafiti na wahusika katika suala la kiafrika na mkutano huo unafanyika chini ya Uangalifu wa waziri wa elimu ya juu na gavana wa luxor na rais wa chuo kikuu cha luxor.
Mkutano una mihimili minne, mhimili wa Al Alsun na mada zake...lugha za kiafrika maelezo kwa kutumia , Suala la kupatikana lugha nyingi barani Afrika. Chanya na Hasi ... lugha za kiafrika na tafsiri...lugha ya kiarabu barani Afrika... jukumu la mashirika ya kimataifa katika kukuza lugha za kiafrika.
mhimili wa Utalii na Ukaribishaji una: “ Utalii wa jinsia barani Afrika_ uwekezaji wa utalii barani Afrika _ kueneza na kuvutiwa kwa sehemu za kiutalii za kiafrika.
Katika sanaa, kujitambulisha kupitia urithi na tamaduni za kiafrika za kisasa ubunifu wa ndani kati ya urithi wa kitamaduni na kiafrika na teknolojia mpya, ama katika mhimili wa Mambo ya kale : unaeleza uhusiano kati ya Misri na Afrika mnamo zama za kale, ubunifu, na uvumbuzi katika kurekebisha mabaki ya kale ya kiafrika.
Comments