wachezaji 3 katika kupiga mbizi walifikia mwisho wa michezo ya olimpiki Tokyo 2020 kando na timu ya mpira wa mikono iliyofikia baada ya kushinda kombe la mataifa ya Afrika lililofanyika huko Tunisia, kuongeza idadi ya wachezaji wa Misri wanaofikia hadi sasa wachezaji 88 wanaowakilisha vyama 13.
Mashirikisho yaliyofikia hadi sasa:
El Khomasi ya kisasa : mchezaji mmoja wa kiume na mchezaji mmoja wa kike
_shuti: Ahmed Zaher “Elhofra ” Azmy Mhelba”Eskap” Osama Elsayed”bunduki”, Yousef Helmy "Nunduki" Samy Abd El Razek”bunduki ya hewa” Abd El Aziz Mhelbah”Hofra ”, Mostafa Hamdy "Askip", Shaimaa Hashad "Bunduki", Magi Ashmawi "Hofra" Zahraa shaaban “bunduki” Radwa Abd El latef “bunduki ya hewa” Maskat Ali “bunduki”
_kuogeleo: Ali Khalf Allah ,Marwan Al kamash, Ahmed Akram, Farida Osman kuogeleo fupi na kuogeleo kwa matarajio.
katika kupiga mbizi Yousef Ezzat , Maha Goda na Mohab Mheman
_Tenisi ya meza: wanaume ya timu wachezaji 4 na wanawake timu wachezaji 4
_Upinde na mshale: mchezaji mmoja wa kiume na mchezaji mmoja wa kike
Tenisi: Mohamed safwt na Mayar Sherif
Kanow : wanaume kwa umoja na wanawake Kwa umoja
_Ndondi: Mohamed Ebrahim Elsayed uzito 67 kg ya kiroma
_Meli : kwa mchezaji wa kiume mmoja na mchezaji wa kike mmoja
_kukokota; Mohamed Abd El khalik El bana
_kuendesha farasi : timu ya kuruka wachezaji 4
_Soka: wachezaji 18 na wachezaji 4 hifadhi
_mpira wa mikono: wachezaji 14 na mchezaji mmoja hifadhi na idadi waliofikia kutoka michezo idadi wachezaji 57 wa kiume na wachezaji 23 wa kike na jumla ya idadi wachezaji 88 na kuna fursa katika miezi ijayo katika vyama wengine.
Comments