Rais El_sisi anaidhinisha sheria la mamlaka za ujana

Rais Abd El fatah El_sisi Rais wa Jamhuri  ameidhinisha kwa sheria namba  7 kwa mwaka 2020 kwa mabadiliko ya baadhi ya hukumu za sheria ya kupanga mamlaka za ujana iliyotolea kwa sheria namba 218


Na sheria inalenga kwa kuvilazimisha vituo vyote vya ujana kwa mfumo mpya wa sheria ,unajumuia kufanya kazi mara kwa mara na vinavyotolea kutoka huduma katika mfumo wa mpango wa mkakati  mkuu uliowekwa na serekali kwa kundi la vijana, ambapo kuna vituo ambavyo idadi zake ni vituo 4066 na vinasimamisha kwa hukumu za sheria namba 218 kwa mwaka 2017,wakati ambapo kuna vituo 207 vinalazimisha kwa mifumo mikuu ya tofauti kutoka jumuia zake kuu, au ishara ya maagizo yaliyotolewa na kamati ya olimpiki ya kimisri.


Na sheria inalenga pia kwa kumalizika kuchanganya ambako kunaakisi mantiki na asili sahihi za sheria  kwa sababu inayosemwa katika ibara ya (3)kutoka sheria kwa namba 218kwa mwaka 2017 inayohusu kwa kupanga mamlaka za ujana ila wajumbe wa bunge  kuu kwa mashirika ya kimichezo kwa afikiano la wajumbe wake kwa mujibu wa hukumu za sheria ya spoti iliyotolewa na sheria namba 71 kwa mwaka 2017 kulazimisha kwa  hukumu ya sheria ya kupanga mamlaka za ujana kwa namba 218 kwa mwaka 2017iliyosemwa kabla hivyo,

Hasa inayoambatana na imetolewa haki ya kuweka mifumo yake mikuu mbele ya wizara ya vijana na michezo na vifaa vyake vyote  vinavyohusu vituo vya vijana kwa kiwangu cha Jamhuri .


Kama inaruhusu kwa upande wa utawala kuingia ile kurejesha mambo kwa hali yake sahihi yakiwepo makosa au kuvunja sheria au ishara ,ambapo sheria ya sasa imetoa baadhi ya vituo hivyo nguvu ya kuweka mifumu yake ya mikuu, na siasa yake kuu ,na kupanga mambo yake yote na kuamua namna ya kutumia fedha inayounga mkono na bajeti  kuu kwa nchi kila mwaka na inayotoa na wizara ya vijana na michezo kutoka msaada ya kifedha kutoka bajeti yake , inayoelekea  kuvunja mikono ya upande za utawala ile kuvilazimisha vituo hivi chini ya udhibiti wake kutoka upande wa kupanga na kiutawala au Afya, kiufundi .

Comments