Wazira ya vijana na michezo :medali 9 kwa wachezaji wa mradi wa kitaifa kwa kipaji na bingwa wa olimpiki katika michuano ya Afrika kwa mweleka nchini Algeria
- 2020-02-07 16:24:15
Wazira wa vijana na michezo ilitangaza kuhusu kushinda kwa kundi la wachezaji wa mradi wa kitaifa kwa kipaji na bingwa wa olimpiki inayoshikiliwa kwa wizara ,kupitia ushirki wake katika michuano ya kiafrika kwa mweleka inayofanywa nchini Algeria .
Michuano ilishuhudia ushindi wa wachezaji wamisri kwa jumla ya medali 9 mnamo siku ya pili kwa ujumla medali 8 za dhahabu na medali moja ya fedha katika zito mbalimbali ,kiasi kwamba Omr Mohamed Amen ,Shahab Eldin Amam ,Abd Elrhaman Elseid ,Khaled Salm ,Mohamed Tarek ,Omr Badr ,Mohamed Mustafa Elshamy ,Adham Abdullah walishinda kwa medali ,pia Moamen Ibrahim alipatia medali ya fedha .
Michuano ya Afrika kwa mweleka kwa vijana chini ya miaka 17 itawawezesha wachezaji wamisri kwa ushirki katika michuano ya ulimwengu ,pia timu nyingi zimeshirki katika michuano wa kiafrika kama Tunisia ,Morocco ,Algeria , na Afrika Kusini .
Mradi wa kitaifa kwa kipaji na bingwa wa olimpiki inayoshikiliwa kwa wizara ya vijana na michezo unazingatia miongoni mwa mipango muhuimu itakayohakiksha mtazamo na mkakati wa wizara katika kugundua vipaji vya vijana katika michezo mbalimbali na kuwasaidia na kuzidi vipaji vyao ili kuwa msingi wa timu za kimisri na wanahakiksha mafinikio katika sherehe za kimataifa .
Comments