Kutangaza Nembo ya mashindano ya Afrika kwa mpira wa vinyoya katika Kairo

Maafisa  wa shirikisho la mpira wa vinyoya kwa uongozi wa  Hesham El-Tohamy walitangaza nembo ya  mashindano ya Afrika inaopangwa kufanyika mnamo kipindi cha 10 hadi 16 Februari  mjini Kairo .


Na inayopangwa kufanyika michuano kwenye  ukumbi 2 katika mkusanyiko wa kumbi zinazofunika huko uwanja wa Kairo , ambapo makazi ya  timu zinazoshiriki  yatakuwa katika  hoteli  moja karibu kutoka uwanja.


Michuano itashuhudia ushiriki wa timu 14 ,Misri, Algeria, Morocco, Tunisia,Afrika Kusini,Nigeria, Maurshios, Sieraleon,Zambia,Zimbabwe, Congo ya kidemokrasia, Kamerun,Uganda, Botswana.

 

El-Tohamy alisisitiza kwamba michuano ni muhimu kubwa sana kwa timu zinazoshiriki, kulingana na kuiweka miongoni mwa michuano  inayofikisha Olimpiki  Tokyo 2020, pamoja na kufikisha  michuano ya ulimwengu.

Comments