Misri inaendelea kupata medali katika siku ya kwanza ya michuano ya Afrika kwa karate
- 2020-02-09 11:41:41
Timu ya kitaifa ya Misri kwa karate inaendelea kupata medali mnamo siku ya kwanza ya michuano ya Afrika kwa karate inayofanyiwa tangu tarehe 7 mpaka tarehe 9 Februari nchini Morocco .
Mafarao
waliweza kupata medali 6
, medali 4 za dhahabu na kifedha
mbili .
Wale Walitunguliwa kwa
medali za kidhahabu
ni :- Gana Hamisi
katika mashindano ya
kata kwa wasichana , makundi
ya kata kwa
wasichana na makundi
ya kata kwa
vijana , " Shoruk Elhenawy " katika
mashindano ya kata
ya umoja wa vijana
wa kike .
Na waliopata
medali za kifedha
ni :- Muhamad Hussien
Muhamad katika mashindano
ya kata ya
umoja ya vijana
, na "Tarek Muhamad Fathi " katika mashindano
ya kata ya
umoja ya vijana .
Vilevile
, wachezaji kadhaa
walipitisha ili kucheza
mechi ya mwisho
au mechi ya
medali ya kishaba
na hivyo kwa namna inafuatavyao :-
Fainali ya kata
ya umoja kwa wanaume
" Ahmed Ashrf kutoka
Misri mbele ya Adnan
Hakem kutoka Morocco
.
Fainali ya kata
ya umoja kwa wasichana
" Sara Asem Said " kutoka Misri
ambapo Sanaa Gelmam
kutoka Morocco na
kata ya pamoja kwa
wasichana .
Fainali ya
uzito wa 50 kilo mita kwa wasichana
" Radwa Said kutoka
Misri ambapo Aaisha
Sayah kutoka Morocco
.
Fainali
ya uzito 61kilo kwa wasichana
" Giana Faruok "
kutoka Misri mbele
ya Ibtsam Sadeen
kutoka Morocco .
Fainali ya uzito
68kilo Faryal Ashrf
kutoka Misri mbele
ya lamyaa Muatub
kutoka Algeria .
Fainali
ya uzito kilo 68
Fatma Zharaa kutoka
Morocco mbele ya
mchezaji Lubna Makdeshy
kutoka Algeria
Fainali ya
uzito kilo 67 kwa wanaume
" Ali Elsawy "
kutoka misri mbele
ya Abel Salam Muknasy
kutoka Morocco .
Fainali ya
uzito kilo 75 kwa wanaume
Abdallah Mamduoh kutoka
Misri mbele ya
mchezaji Yaseen Skory kutoka
Morocco .
Fainali ya
uzito kilo 84 " Taha Tarek
Mahamuod kutoka Misri
mbele ya mchezaji
Murgan muoss kutoka
Afrika Kusini .
Na mashindano
ya michuano mengine yataendelea kesho
ambapo Misri na
Morocco zinashindana ili
kufikia nafasi ya
kwanza katika utaratibu
wa ujumla .
Timu hiyo inaongozwa
kwa kiufundi na Muhamad Abel Rahaman
( Tato) kocha wa
kometia kwa wanaume
, Hany Kashta
kocha wa kometia
kwa wasichana ,Said
Shams kocha wa
kometia kwa vijana
pamoja na Muhamad
Abdo kocha wa
kometia kwa wasichana
, Muhamad Fathi kocha
wa kometia kwa
wadogo wa kiume ,Said Salem
kocha wa kometia
kwa wadogo wa kike
,Mustafa Ibrahim kocha
wa kata ( wanaume na
wanawake ) na Hany Muhamuod
kocha wa kata (vijana na
wadogo) .
Na
ujumbe unaongozwa na
Muhamad Eldahrawi mkuu wa
wa shirikiano la
kimisri kwa karate
kwa ushirikiano Said
Nasr mwanachama wa
baraza la usimamizi wa shirikiano
na naibu wa
mkuu wa shirikisho
la Afrika .
Comments