Magdy Abd Al-Ghany anahudhuria mikutano ya Umoja wa Afrika kwa wachezaji wa kitaaluma

Mkurugenzi wa Jumuiya ya wachezaji wa Kitaaluma, Magdy Abd Al-Ghany aliondoka Kairo na akaelekea  Morocco ili kuhudhuria mikutano ya Umoja wa Afrika kwa wachezaji wa kitaaluma, na iliyoendelea kwa siku tatu.

Na kwa upande wake, Magdy Abd Al-Ghany mkurugenzi wa Jumuiya ya Wachezazji wa kitaaluma na wanachama katika  Ofisi ya Kiutendaji ya Shirikisho la Afrika kwa wachezaji wa kitaaluma, walitangaza kuwa makusudi ya mkutano huo ni kukubaliana  mpango wa kazi wa shirikisho katika muda ujao. Na pia, ufahamu wa kiwango cha uhusiano wa Shirikisho la Wachezaji wa Kitaaluma na mashirikisho ya kitaifa na Shirikisho la Afrika (CAF), na pia kiwango cha kutathmini kwa ushirikiano wa pamoja kati ya (Vibro na CAF) katika kuandaa sherehe la bora zaidi kwenye mwaka 2019, na lililofanyika  hivi karibuni huko Kairo.

Mkutano unajadiliana migogoro na vikwazo vilivyokabili wachezaji  waafrika katika mwendo wa kitaaluma wao na kazi yao. Pia kushikilia pia kozi kadhaa za kielimu ili kuanzisha mpya katika Ulimwengu wa Soka.

Comments