Mmisri Azmi Mahiliba anachukua medali tatu mnamo siku moja

Azmi Mahiliba anayepiga mishale ya kiolimpiki na wa kimataifa katika timu ya kimatifa ya sahani za Askeet, aliweza apate medali ya dhahabu katika Mashindano ya Kiarabu yaliyofanyika nchini Morocco (Al-Rabat), akihakikisha nambari 124/125 na fainali ya kihistoria 58/60.

Na pia kwa alama hiyo hiyo na fainali nyingine aliweza kuhakikisha medali ya shaba katika Mashindano ya Tuzo Kubwa, yaliyofanyika pia pamoja na  Mashindano ya Kiarabu. Ambapo mabingwa waliopiga mishale wa dunia kutoka Ulaya, pamoja na, waliopiga mishale waarabu walioainishwa duniani walishiriki katika mashindano hiyo.

Pia timu ya kimisri, inayokusanya Azmi Mahilba, Mustafa Hamdy na Sarkis Krikour, ilishinda nafasi ya pili na medali ya fedha katika Mashindano ya Kiarabu.

Kwa hivyo, itakuwa iliweza kupata medali tatu mnamo siku moja.

Comments