Kambi liliyofungwa kwa timu ya kitaifa ya Khomasi kwa maandalizi ya kombe la dunia mjini Kairo
- 2020-02-11 12:47:26
Timu ya kitaifa ya Khomasi ya kisasa iliingia kambi ya maandalizi iliyofungwa katika mojawapo ya hoteli za Kairo na ikijiandaa kushiriki katika mashindano ya kombe la dunia "miongoni mwa olimpiki ya Tokyo 2020" na ambayo shughuli zake zitazindua kutoka kipindi cha 26 mwezi wa Februari hadi siku ya kwanza ya Machi juu ya Viwanja vya klabu za Platinamu katika eneo la Eltaagamoo Elkhamis mjini Kairo mpya chini ya usimamizi wa Raoof Hosam meneja wa kiufundi
Meneja wa kiufundi aliainisha timu ya kitaifa ya kimisri itakayoshiriki
katika mashindano na inajumuisha wachezaji :
Ahmed Osama El-Gendy, Islam Hamed, Yasser Hefny, Sherif
Yasser "mchezaji muhimu ", Mohand Tariq, Ahmed Ashraf "Mchezaji
anayehifadhiwa"
na wachezaji wa
kike Heidi Adel, Salma Ayman, Amira
Kandil, Sondos Tariq "mchezaji muhimu " na Noreen Paul, malak Khaled
"Mchezaji anayehifadhiwa"
Bodi ya wakurugenzi ya shirikisho la kimisri kwa Khomasi ya
kisasa Kwa uongozi wa mhandisi Tarek Elerian ilikubali ombi la kujiunga kwa
timu za kitaifa za Ukraine , Bella Urusi , Afrika kusini , Uchina , Japan na
Canada kwa kambi ya maandalizi ya ndani pamoja na timu ya kitaifa ya kimisri na
hivyo ni katika kujiandaa kwao kwa mashindano
Na Elerian alisema kwamba shirikisho liko tayari kutoa
mpango muhimu kwa mafarao hadi kuhakikisha lengo na kutoa matokeo mema kupitia
mashindano yanayofanyika katika Kairo na alisisitiza kwamba mashindano yatakuwa
magumu sana hasa kwa kushiriki kwa mabingwa wa dunia na kuwa ni mojawapo wa
mzunguko unaofikisha olimpiki ya Tokyo 2020
Ni muhimu kukumbuka kuwa nchi 40 zimesisitiza ushiriki wao
hadi sasa, nazo ni Argentina, Austria, Belarus, Ubelgiji, Brazil, Bulgaria,
Canada, Uchina, Jamhuri ya Czech, Ecuador, Ufini, Ufaransa, Georgia, Ujerumani,
Uingereza, Guatemala, Hungary, Ireland, Italia, Japan, Kazakhstan, Korea,
Latvia, Lithuania, Mexico, Moldova, Uholanzi, Poland, Ureno, Urusi, Afrika
Kusini, Uhispania, Uswizi, Uturuki, Ukraine, Uzbekistan, Amerika, Nigeria, New
Zealand, na Misri kama "nchi mwenyeji". Kwa ushiriki wa wachezaji
450, wachezaji wa kiufundi na waendeshaji, pamoja na timu kutoka Shirikisho la
Kimataifa kwa mchezo unaojumuisha watu 21na mkuu wa shirikisho la kimataifa
Klaus shorman , Makamu wa Rais, Katibu Mkuu wa shirikisho la kimataifa Shiny
Fang wako nao
Comments