Mohamed safwat anashinda jina la Michuano ya Chalnger langston ya Usturalia kwa mchezo wa Tenisi

 Mohamed Safwat mchezaji wa Misri na klabu wa Wady Degla kwa Tenisi alishinda jina la ubingwa ya Chalenger langiston la Usturalia 2020 , miongoni mwa mlolongo wa changamoto ya chalenger , baada ya kushinda mwenzake wa Usturalia Aliks Bolt aliyeainishwa namba 131 ulimwenguni kwa makundi mawili  safi na ameshafikia namba 129 ulimwenguni namba .

 

Bingwa wa timu ya Misri Mohamed Safwat amefika kwa fainali ya Michuano siku ya jumamosi iliyopita , baada ya kushinda mwenzake wa Beljika Komir Kambinas ayaneainishwa namba 162 ulimwenguni ,kwa makundi mawili kwa kundi moja ma matokeo yake kama yafuatavyo :6_4/4_6/3_6.

 

Na Safwat mwenye umri wa miaka 29 alifaulu  kufikia olimpiki ya Tokyo 2020, iliyopangwa kufanika katika majira ya joto yajayo nchini Japan,baada ya alishinda medali ya dhahabu kwa kundi la binafsi katika duru ya michezo ya kiafrika ya mwisho iliyokaribishwa kwa Morocco.

 

Ismaail Shafi mkuu wa shirika la kisasa ,mchezaji wa mwisho aliyewakilisha Misri katika duru kuu kwa michuano wazi ya Usturalia kwa Tenisi , ambapo alihakikisha  jambo hilo kwa mara mbili mnamo 1971 na 1979.

Comments