Naibu wa shirikisho la kiafrika kwa mpira wa vinyoya: Misri ina uwezo wa kuandaa michuano mikubwa
- 2020-02-11 13:00:25
Mwalgeria Amin Zubiri naibu wa rais wa shirikisho la Afrika kwa mpira wa vinyoya alielezea furaha yake kwa mapokezi ya Misri kwa michuano ya kiafrika kwa wazima iliyofanyika kwenye uwanja wa Kairo mnamo kipindi cha 10 hadi 16 Februari sasa.
Dokta Ashraf Sobhy
waziri wa vijana na michezo alishuhudia,sherehe ya michuano ya kiafrika kwa mpira wa vinyoya iliyofanyika
katika ukumbi namba 2 kwenye uwanja wa Kairo .
Zubiri aliongeza kuwa Misri ni bora katika kuipokea michuano
mikubwa , na hapo awali iliipokea
michuano miwili ya Afrika 2003 na 2015.
Zubiri aliendelea kuwa shirikisho la kimisri kwa mpira wa
vinyoya lina mabingwa na shughuli baada ya matokeo yake makubwa mnamo 2017.
Naibu wa rais wa shirikisho aliashiria kuwa toleo la kisasa
kwa michuano lipo miongoni mwa michuano inayofikisha Olimpiki ya Tokyo 2020.
zubiri naibu wa rais wa shirikisho la kiafrika kwa mpira wa
vinyoya alihitimisha hotuba yake wakati wa ufunguzi, nashukuru yeyote
anayeshiriki katika michuano hii kuanzia na Dokta Ashraf Sobhy waziri wa vijana na michezo na Hesham
Eltuhamy rais wa shirikisho la kimisri kwa mpira wa vinyoya baada ya kupokea na
kutoa uwezekano wa mafanikio michuano hiyo.
Michuano ya kibara inashuhudia
Ushiriki wa timu 14, nazo ni: Misri ,Algeria,Morocco,Tunisia,
Afrika Kusin,Nigeria, Morshews ,Sierraleone ,Zambia,
Zimbabwe , Congo ya kidemokrasia, Kamerun,
Uganda na Botswana
Comments