Waziri wa vijana na michezo anashuhudia kufunguliwa kwa michuano ya kiafrika kwa mpira wa vinyoya kwenye uwanja wa Kairo
- 2020-02-11 13:01:35
Dokta Ashraf Sobhy waziri wa vijana na michezo mnamo siku ya jumatatu , alishuhudia sherehe ya kufunguliwa kwa michuano ya kiafrika kwa mpira wa vinyoya kwa wakubwa , inayokarbishwa kwa Misri mnamo kipindi cha 10 mpaka 16 mwezi huu wa Feburari katika uwanja namba 2 katika mkusuniko wa kumbi zilizofunkiwa kwenye uwanja wa Kairo ya kitaifa .
Sobhy kupitia kauli yake katika sherehe ya kufunguliwa kwa
michuano ya kibara alisisitiza kujiamini
kwake katika uwezo wa shirkisho la kimisri kwa mchezo kwa kuandaa michuano kwa umbo linalosambamba na jina na umarafu wa
kihistoria wa Misri .
Waziri wa vijana na michezo alitangaza kufunguliwa michuano kwa ushirki wa timu 14
nazo ni: Misri ,Algeria ,Morocco
,Tunisia ,Afrika kusuni ,Nigeria ,Morsheos ,Seraleon ,Zambia ,Zembabwe
,Congo ya kidemkrasi ,Kameron ,Uganda ,Btswana
.
Amen Zobere naibu wa
mwenyekiti wa shirkisho la kiafrika kwa mpira wa vinyoya , na kutoka Morsheos
Sahir Iedo katibu mkuu kwa shirkisho la
kiafrika ,Hesham Eltohami mwenyekiti wa
shirkisho la kimisri kwa mpira wa vinayoya ,Meja Jererali Ahmed Nasser mwenyekiti wa shirikisho la mashirkisho ya
kiafrika (OXA ),mhandisi Sherif Elaren
katibu mkuu wa kamati ya kiolimpiki ,Dokta Heya Khtab mwenyekiti wa
kamati ya kiparalmiki ,idadi za wakuu wa wajumbe walioshirki na wajumbe wa
idara ya shirkisho la mpira wa vinyoya walihudhuria sherehe ya kufunguliwa .
Comments