Timu za mpira wa vinyoya ziko mwanzoni mwa michuano ya kiafrika mnamo siku ya kwanza

Mashindano ya siku ya kwanza yamemaliza, kutoka ubingwa wa Afrika wa mpira wa vinyoya kwa wakubwa yanayokarabishwa katika ukumbi namba 2 uwanjani mwa Kairo ya kimataifa mnamo kipindi cha 10 hadi 16 mwezi  huu wa Februari .


Na timu ya Algeria imeshinda  Tunisia kwa mabao matano safi , wakati ambapo Morishosi imeshinda mwenzake wa Uganda kwa mabao matano safi miongoni mwa mashindano ya kaundi ya kwanza.


Na kwa upande wa mashindano ya kundi la pili, timu ya Afrika Kusini imeshinda  Kameron kwa mabao matano safi , wakati ambapo timu ya kitaifa imeshinda  Siralion kwa mabao matano safi baada ya kuondoka kwao.



Mnamo kipindi cha jioni kwa upande wa mashindano ya kundi la pili timu ya kitaifa imeshinda Kameron kwa mabao matano safi  baada ya kuondoka kwao.



Na kwa upande wa mashindano ya wanawake, timu ya kitaifa imeshinda  timu ya Algeria kwa njia yenye  ajabu kubwa kwa vipindi vitatu mbele ya viwili , wakati ambapo wanawake wa Morishios walishinda  timu ya Afrika Kusini kwa mabao manne kwa bao moja.


Michuano ya kibara inashuhudia ushiriki wa timu 14 nazo ni:Misri,Morocco ,Tunisia,Afrika kisini,Naigeria,Morishios,Serilion, Zambia, Zimbabwe,  Congo ya kidemokrasia ,Kameron,uganda, na Betswana.

Comments