Wizara ya mambo ya nje kupitia tovuti zake kwenye "FaceBook " ilichapisha kauli ya kihabari kwa kichwa cha "Kairo intoa Udhamini wa Nasser kwa Uongozi wa kiafrika

Wizara ya mambo ya nje kupitia tovuti zake kwenye "FaceBook " ilichapisha kauli ya kihabari kwa kichwa cha "Kairo intoa Udhamini wa Nasser kwa Uongozi wa kiafrika ". Na udhamini huo hufanyikwa mnamo kipindi cha tarehe ya 8 hadi tarehe ya 22 toka Juni ijayo, na unawakaribisha viongozi wa kiutendaji 100, wanaowakilisha nchi za kiafrika 51. Na Wizara ya mambo ya nje inachangia matukio ya udhamini kupitia mikutano inayojumuisha makada vijana waafrika pamoja na wahusika wa Wizara na viongozi bora wake, na hayo yanakuja kulingana na usaidizi na ushirikiano wake wa kudumu kwa shughuli za ofisi ikiwa mshiriki na msaidizi mkuu kwake.

Comments