Timu ya kitaifa ya Misri kwa mpira wa vinyoya inashinda medali ya shaba ya mashindano ya kiafrika

Timu ya kitaifa ya kimisri kwa mpira wa vinyoya kwa wanaume  inashinda medali ya shaba kupitia kushiriki kwake katika mashindano ya kiafrika yanayofanyika hivi sasa juu ya sebule namba 2 katika mkusanyiko wa sebule zinazofunikwa katika uwanja wa Kairo 


Timu ya kitaifa ya kimisri inashinda medali ya shaba baada ya kushindwa mbele ya timu ya kitaifa ya Morishios kwa 3:0 katika mechi kabla ya fainali 


Na miongoni mwa mashindano ya mzunguko huu huu , timu ya Algeria ilifikia mechi ya fainali baada ya kuishinda timu ya Afrika kusini kwa 3:0 


Na timu ya kitaifa ya wanawake ilishinda medali ya dhahabu na nafasi ya kwanza kupitia kushiriki kwake katika mashindano pia , na ilifikia moja kwa moja kwa kushiriki katika mashindano ya dunia mnamo mwezi wa Mei  huko Denmark 


Orodha ya timu ya kitaifa ya wanaume katika mashindano inajumuisha Ahmed Salah , Adham Hatem , Mohamed Mostafa Kamel , Abd Elrahaman Abd Elhakim , Monir Fayez na Mahmood Montaser

Comments