Waziri mkuu mmisri anashuhudia mkataba wa kurudisha ukaribu wa Misri kwa makao makuu ya " CAF" kwa muda wa miaka 10
- 2020-02-13 11:06:15
Dokta Mostafa Madbouly Waziri mkuu anashuhudia shughuli za kusaini mkataba kuhusu kurudisha ukaribu wa Misri kwa makao makuu ya shirikiano la Kiafrika kwa Soka " CAF" mpaka muda wa miaka 10 utaboresha moja kwa moja kati ya Misri na shirikisho la kiafrika la sok " CAF" ; na umesainiwa na Dokta Ashraf Sobhy waziri wa vijana na Michezo , na Ahmed Ahmed mkuu wa shirikisho la Kiafrika kwa Soka
kwa upande wake , Dokta Ashraf Sobhy waziri wa vijana na michezo aliashiria kuwa mkataba uliosainiwa leo unakuja kama badala kwa mkataba uliotangulia ambao ulisainiwa kati ya pande mbili mnamo mwezi wa Novemba 2007 akiongeza kuwa baada ya kumalizika mkataba uliotangulia , CAF ilitoa ombi la kusaini mkataba wa makao mapya .
Alifafanua kuwa chini ya utashi wa serikali ya Kimisri juu ya kuendelea kutoa msaada kwa shughuli za CAf na juhudi zake na hivyo ili kurahisisha kazi yake ili kuendeleza , kutangaza na kuboresha umaarufu wa Soka barani Afrika , ambapo imeshakubaliwa kukaribisha makao makuu ya shirikisho la Afrika kwa Soka mpaka muda wa miaka 10 unaongezeka moja kwa moja , akifafanua kuwa wizara ya vijana na michezo , kifedha , nje na taasisi nyingine husika za kiserikali , tangu mwaka wa 2017 zimechukua kufanya utaratibu wa dharura ili kusaini mkataba mpya kutokana na ombi la CAF kama maandalizi ya kimataifa ya binafsi " siyo ya serikali " makao makuu yake ni Misri kwa ajili kuongeza baadhi ya faida kwa makao ya CAF na kwa jukumu la kurahisisha na kuwezesha mambo ya kazi katika shirikisho la kiafrika kwa Soka ndani ya Misri .
Kutokana ma mkataba , mamlaka husika zinajumuisha kupatikana huduma za mahali ili kuhakikisha kwamba makao yameongezekwa kwa huduma muhimu za umma , miongoni mwake :- umeme , maji , usafi wa mazingira ,Gesi, simu ,Simu ya upepo , usafiri wa ndani ،usafi wa mazingira na ulinzi wa kiraia . Vilevile , mkataba unajumuisha kifungu cha makubaliano ya ushuru , kodi kinachokwepo katika makao makuu ya Kiafrika kwa Soka nchini Misri .
Comments