Maliba... Ndege bila mwanahewa imetengenezwa na kijana wa Mali kutoka takataka za kiplastiki
- 2020-02-17 11:20:20
Kijana wa Mali ameweza kuanzisha kambuni kwa kutengeneza ndege bila mwanahewa {Drwnz} kwa mahitaji ya kiraia na kijeshi kupitia kutumia takataka za kiplastiki, na ameitoa jina la (Maliba).
Na Musa Daiar mwanzishi wa kambuni ya (Milinyom kwa
Teknolojia), katika mahujiano kwa
kipindi cha Mali alisema kwamba takataka za kiplastiki zinaingia kwa kiwangu cha asilimia 80% katika kutengeneza ndege yake, hasa katika muundo wa nje na
helikopta ya ndege.
Na amesisitiza kwamba ndege hizi zinaweza kuruka kwa muda wa
dakika 180 na kupiga picha kutoka umbali wa kilomita 375 , akieleza kwamba
inawezekana kutumia ndege hizi katika nyanja kadhaa hasa za Usalama, Ulinzi na Kulima.
Na Diara ameashiria kwamba kambuni yake imeuza ndege nyingi
za Drwnz kwa watu wa kawaida na taasisi ndani ya Mali na pia katika baadhi
ya nchi za Afrika Magharibi ,akiashiria
kwamba kambuni yake sasa inazalisha
ndege 5 kutoka ndege ya Drwnz kila mwezi na idadi ya wanafanyakazi wake
ni 20,akieleza kwamba sasa anapanga kwa uzalishaji (drwn kwa huduma ya haraka)
kwa lengo la kuhamisha mifuko ya damu
kati ya vituo tofauti vya kiafya nchini Mali.
Comments