Rais wa shirikisho la kiafrika kwa mpira wa vinyoya anahudhuria fainali za wanaume kwenye michuano ya kiafrika
- 2020-02-17 11:24:42
Tukebana Pau "Rais wa Shirikisho la kiafrika kwa Vinyoya " alikuwa na hamu ya kuhudhuria fainali za timu ya wanaume kwenye michuano ya kiafrika iliyofanyika katika ukumbi namba 2 kwenye uwanja wa kimataifa wa Kairo mnamo kipindi cha 10 hadi 16 Februari .
Pau alifikia Kairo
jana jioni jumatano ili kuhudhuria shughuli za michuano ya kibara.
Rais wa shirikisho la kiafrika alihudhuria mechi ya mwisho
kwa timu ya wanaume na ilifanyika sasa kati ya Algeria na Morishios pamoja na
Hesham El tuhamy Rais wa shirikisho la kimisri kwa mchezo na Bwana Sahir Edo katibu mkuu wa shirikisho la
kiafrika.
Michuano ya kibara
inashuhudia ushiriki wa timu 14 nazo ni : Misri, Algeria,Morocco,Tunisia,Afrika
Kusini, Nigeria,Morishios,Zambia,Zimbabwe,Congo ya kidemokrasia,Kamerun,Uganda,
Betswana.
Comments