Waziri wa michezo anashuhudia ufunguzi wa toleo la pili la maonesho ya kimataifa ISF kwa michezo , uzima wa kimwili na Afya
- 2020-02-17 11:25:56
Dokta Ashrf Sobhy waziri wa vijana na michezo siku ya Alhamisi 13 Februari alishuhudia ufunguzi wa maonesho ya kimataifa ISF ya michezo , uzima wa kimwili na Afya , yanayoongozwa kwa wizara ya vijana na michezo katika toleo la pili kwa kushirikiana na kampuni la Zen la kupanga maonyesho ,mikutano ya Kimisri na kimataifa tangu tarehe 13 mpaka tarehe 15 mwezi huu wa Februari kituoni mwa Kairo mwa kimataifa kwa mikutano yanayofanyika pembezoni mwa maonesho ya mkutano wa kimataifa kwa utalii na matokeo ya kimchezo, ambapo hujadili mihimili kadhaa ya muhimu zaidi ni Utalii, shughuli za kimichezo, mtazamo wa Misri 2030, uwekezaji katika utalii , shughuli za kimichezo , na jukumu la vyombo vya habari na sekta binafsi katika uwanja ule .
Na Upangaji wa wizara
ya vijana na
michezo kwa maonyesho
ya kimataifa ya michezo
, uzima na Afya ya kimwili
kwa kaskazini mwa
Afrika katika mwaka wa
pili mfululizo unalenga
kuongeza utalii wa
maonesho ya michezo
nchini Misri , kuvuta ujali na
ushirikiano wa masoko makubwa zaidi duniani katika sekta
ya michezo na
uzima wa kimwili
barani Afrika na
Mashariki ya kati
pamoja na kueneza mitazamo
mipya na kisasa
kwa raia wa Misri
wenye umri tafauti
ili kucheza michezo
na kukuza utalii na
kuonyesha upya unaotolewa na
teknolojia katika viwanda vya
michezo kutoka vyombo, vifaa ,
ala, nguo na viatu
vya spoti .
Katika kauli yake ,
Dokta Ashraf Sobhy waziri
wa vijana na
michezo alisema kuwa
mkakati wa wizara mojawapo
wa vipengele vyake vinajikita kutumia
michezo kama viwanda
na uzalishaji na
kutangaza maonyesho na makampuni
yanayohusiana na sekta
ya michezo ndani
ya Misri ,akiashiria kuwa
Misri imekuwa soko
kubwa la kuvuta
uwekezaji .
Waziri wa
vijana na michezo alisisitiza kuwa
mkutano wa kimataifa
kwa michezo na uzima wa
kimwili unazingatia mwanzo wa
kuzindua utalii wa
maonyesho ya michezo
nchini Misri , akiashiria
kuwa kuwepo usambazaji wa
maonyesho katika mashariki
ya kati , akiashiria
kuwa maonesho ya kimchezo ni
mojawapo wa sekta
za uwekezaji wa michezo ,
akiongoza umuhimu wa ukamili wake
ambapo unakukuza Rasilimali
ya makampuni na
kujadili maudhui za Afya ,
uzima wa
kimwili na viwanda
vya kimichezo .
Sobhy aliongeza
kuwa wizara ya
vijana na michezo
iliweka mkakati tangu
mwaka uliopita unaohusu
kufanya maonyesho ya
kimataifa kwa michezo na uzima wa
kimwili na kuliendeleza
toleo lijalo , akiashiria kuwa
toleo la kwanza kutoka
maonyesho ya michezo na
uzima wa kimwili mwaka uliopita kituoni mwa
Olimpiki ili kufanya mazoezi kwa
makundi na timu
huko El Maadi , na sasa hivi
toleo la pili
linafanyika kwenye kituo
cha Kairo cha
kimataifa kwa mikutano
mji wa Nasr , na
toleo la tatu
litakuwa mnamo mwaka ujao kwenye
kituo cha Elmanara cha
mikutano ya kimataifa huko eneo la
Eltagamuo Elkhames .
Katika maonyesho
ya makitaifa ya michezo
na uzima wa kimwili
katika toleo la pili lake hushirikisha zaidi
ya makampuni 80
miongoni mwake makampuni yanayohusiana na
sekta ya teknolojia ya viwanda vya michezo nao vifaa
vya michezo , matayarisho
ya viwanja vya
michezo , vituo vya
kimatibabu na huduma
za kimchezo .
Inayopasa kutajwa
ni ,kuwa daima maonesho
yanapangwa katika nchi za
Kiwit , Emaritis na Sudia
Arabia na usimamizi
mkuu wa utalii
wa kimchezo katika
wizara ya vijana
na michezo unashirikisha
kwa toleo lililotangulia na
lililofanyika nchini Emarities
ya kiarabu mnamo mwezi
wa Aprili wa mwaka jana .
Comments