"Wizara ya vijana na michezo inapokea wajumbe waafrika wanaoshirikiana katika tamasha la siku ya Afrika".
- 2019-05-25 19:51:51
Kupitia idara kuu kwa programu za kiutamaduni na
kijitolea na kwa uangalifu wa Dokta Ashraf Sobhy "Waziri wa vijana na
michezo" Wizara ya vijana na michezo imepokea wajumbe waafrika washirikio
katika tamasha la siku ya Afrika, inayoandaliwa kwa Wizara mnamo kipindi cha 22
hadi 26 mwezi wa Mei, mwaka wa 2019,kwa kusherehekea kumbukumbu ya uundaji wa
shirikisho la Umoja wa kiafrika (Umoja wa kiafrika hivi sasa)
na wakati wa urais wa Misri kwa Umoja wa kiafrika chini ya uongozi wa
Rais Abd Elfatah Elsisi.
Na Wizara ya vijana na michezo ilikaribisha wajumbe
waafrika toka nchi za Ghenia -Bissau, Mamlaka ya kimorocco, Algeria, Ghana,
Uganda, Madagascar, Mauritania, Zimbabwe, Kenya, Kongo Demokrasia, Somalia,
Eritria, Gabon, Benin, Nigeria, Tanzania, Kusini mwa Sudan, pamoja na Misri.
Wizara ya vijana na michezo iliwaelezea wajumbe maelezo
ya tamasha kama matukio na shughuli zote za kuandaa tamasha, maelekezo endelevu
yanayofuatiwa ndani ha tamasha.
Wizara ya vijana na michezo ilieleza kwamba matukio ya
tamasha yanakusanya uteklezaji wa ukuta wa kiufundi (ukuta mmoja wa kuta za
kituo cha vijana wa Aljazira) unaoakisi roho ya ushirikiano na ushikamano wa
kiafrika kati ya vijana wa nchi za kiafrika, na sherehe kwa urais wa Misri kwa
Umoja wa kiafrika ambapo vijana wajumbe waafrika wanashirikiana ndani yake.
Wizara ya vijana na michezo aliashiria kwamba matukio ya
tamasha yanajumuisha kuandaa maonyesho ya kazi za mkononi na za kiurithi na
vyakula maarufu vya nchi za kiafrika, pia kuonyesha kazi za kiufundi za
mashindano ya kiufundi ya kuchora picha ya kiufundi kwa baba mmoja wa waanzishi
wa umoja wa kiafrika, ukiongezeka na kutekleza tukio kubwa la kisanaa juu ya
jukwaa la kirumi kwenye kituo cha vijana wa Aljazira kwa kushirikiana na Bendi
ya Wizara ya vijana na michezo na maonyesho ya kisanaa kwa Bendi za sanaa za
kienyeji zinazohusiana na vituo vya sanaa katika mikoa.
Pia Wizara ya vijana na michezo aliashiria kwamba matukio
ya tamasha yanajumuisha uteklezaji wa harakati za kimichezo kwa wajumbe
waafrika wanaokaa kwenye Jamhuri ya Misri ya kiarabu na wajumbe wengine wa nchi
za kiafrika, na hiyo kwa kushirikiana na idara kuu kwa maendeleo ya kimichezo
na shirikisho la kampuni, pamoja na uteklezaji wa programu ya kiutalii na
kiburudisha kwa wajumbe waafrika washiriki, ili kutambua vivutio vya kiutalii
na kihistoria kwenye Jamhuri ya ya Misri ya kiarabu.
Comments