Waziri wa Michezo ampongeza Rais wa klabu ya Zamalek kwa kushinda Kombe la Afrika

 Dokta Ashraf Sobhy Waziri wa Vijana na Michezo alimpongeza bodi ya Wakurugenzi ya Klabu ya Zamalek, inayoongozwa na mshauri Mortada Mansour, kwa kushinda Kombe la Afrika "Super Cup" na kufanikiwa kwa mafanikio mapya yaliyoongezwa kwenye rekodi ya Mashindano ya Klabu ya Zamalek na michezo ya Misri kwa ujumla.



Waziri wa Michezo aliusifu utendaji wa wachezaji mnamo mechi nzima kwa vipindi vyake viwili,  ikiishinda mpinzani mkali na mkaidi kama Klabu ya El Taragy Tunisia  kwa mabao matatu kwa bao moja.


Sobhy aliongezea kuwa ushindi huu unawakilisha kuongezeka kwa maadili kwa klabu zte za Misri zinazoshiriki  katika michuano mbali mbali ya Kiafrika, akithibitisha imani yake kubwa kwamba klabu za Misri zina uwezo wa kufanya tofauti katika mashindano yote wanayoyashindana, ambapo hurejelea vyema kwa

timu ya kitaifa ya Misri ya kwanza kwa mpira wa miguu ya Kitaifa.


Comments