Waziri wa michezo anaipokea timu ya zamalek katika uwanja wa ndege wa Kairo baada ya kushinda kombe la kiafrika
- 2020-02-17 11:33:35
Kati ya tukio kamili la mashabiki wa ngome nyeupe Katika uwanja wa ndege wa Kairo , Dokta Ashraf Sobhy waziri wa vijana na michezo pamoja na wajumbe wa baraza la klabu ya zamalek ikiongozwa Mortada Mansour, walipokea ujumbe timu ya kwanza ya mpira wa miguu, baada ya kufikia jina la ubingwa wa kombe la super kwa mara nne katika historia yake kwa kushinda klabu ya Eltaragy ya Tunisia, kwa mabao matatu kwa bao moja.
Sobhy alielezea furaha yake kwa jina hili la kibara
linaloongezwa kwa rekodi ya michezo ya Misri, akiwasifu wajumbe wote wa timu waliotoa mfano katika
kufanya bidii na kutoa mnamo dakika 90 kamili,
waliweza kushinda ubingwa mbele ya mshindani hodari, mgombeaji 1 barani
Afrika kwa kushinda ubingwa ya Afrika.
Sobhy alitoa mapongezi kwa mashabiki Wamisri kwa ujumla , na mashabiki wa ngome
nyeupe kwa ushindi mkubwa ambao unaonyesha uwezo wa Misri katika uwanja wa
kibara.
Sobhy alimaliza taarifa yake kwamba wizara
inazisaidia klabu zote za kimisri, kwa ajili ya kuhakikisha malakabu na
michuano zaidi sawa yakiwa barani au
ulimwenguni katika Michezo
tofauti.
Comments