Dokta Ashraf Sobhy ,
Waziri wa Vijana na Michezo, alianza leo asubuhi Jumapili matukio ya toleo la
pili la Olimpiki la mtoto mmisri
lililoandaliwa na Wizara ya Vijana na Michezo katika pande zote za Jamhuri na litaanza kutoka Februari mpaka Juni 2020.
Uzinduzi huo
ulihudhuriwa na mwanahabari Ibrahim
Hegazi, Jenerali Mohamed Nour, Mkurugenzi Mtendaji wa Baraza la Michezo la
kitaifa , Wasaidizi wa Waziri, Wahusika wa Wizara hiyo, na
wakurugenzi na wawakali wa Wizara hiyo katika iadara za vijana na michezo
kwenye mikoa.
Mwanzoni mwa hotuba
yake, Dokta Ashraf Sobhy , Waziri wa Vijana na Michezo, alisema kuwa
kuanzishwa Olimpiki ya mtoto mmisri ni
mfano wa kuiga kwa michezo ya Olimpiki inayolenga kuwa na uwezo wa kuandaa kwa kozi hizo za
michezo, kuweka maadili ya uaminifu na kuipenda nchi, pamoja na maadili ya
ushindani safi kupitia vikundi vya michezo na
mashindano ya michezo ya jinsia mbili ili kuongeza uelewa wa umuhimu wa
michezo ya ushindani kutoka umri mdogo kwa vijana wa kimisri, na kufanya kazi
kugundua talanta na wanariadha ambao wametofautishwa kutoka kwa washiriki, na
idadi kubwa ya watoto kutoka Misri katika mikoa yote wanaoshiriki katika michezo
kama mtindo wa maisha, na kuweka hali ya marafiki miongoni mwa washiriki kutoka
mikoa yote, ambayo huja kama sehemu ya mkakati wa binadamu na kujenga Misri
ilizinduliwa na Mheshemiwa Rais Abd El
Fatah El Sisi Rais wa Jamhuri.
Waziri wa Vijana na
Michezo alifafanua kwamba uongozi wa kisiasa unaweka watoto wa Misri kati ya
vipaumbele vyake, akiashiria kuwa mtoto huyo mmisri na kujenga uwezo wake
mbalimbali ni jambo muhimu katika kufanikisha maendeleo endelevu na maoni ya
Misri 2030, akisisitiza kwamba Olmpiki ya Mtoto mmisri ni mradi wa kitaifa kwa
vijana wa Misri ni kwa sehemu mbili,
sehemu ya kwanza ni mfano wa kuiga kwa michezo za kudumu katika Michezo yote ya kutoa mafunzo na kujenga
uwezo wa bingwa wa Olimpiki katika vijana wa kimisri, na ya pili ni kufanya michezo na kuinua kiwango cha afya
cha watoto wa Misri kupitia michezo.
Toleo la pili la
Olimpiki ya mtoto mmisri linalenga ushiriki wa kiasi cha vijana 45,000 wamisri
wa jinsia zote katika vituo vya vijana, elimu, na taasisi za Al-Azhar na vyuo
vya kibinafsi na hivyo kwa watoto waliozaliwa mnamo 2006 na 2008 katika safu za
mpira wa miguu, mpira wa kikapu, mpira wa wavu, Tenisi ya meza kwa moja na
wawili, michezo ya nguvi mbio mita 100,
kuruka kwa muda mrefu, risasi, karate kata, Taikondo kroji kwa jinsia zote
mbili, wakati mashindano ya mpira wa miguu ya kiume hufanyika tu katika majengo
ya vijana na michezo katika mikoa yote ya jamhuri.
Wshindi wanapewa tuzo
elfu 500 kwa pesa taslimu, pamoja na kupokea
Washiriki wote huvaa nguo kwa kiwango cha juu, na mikoa 3 bora zaidi yenye ushiriki kwenye
Olimpiki ya mtoto mmisri ipewa pesa za tuzo.
Ni muhimu kutaja kuwa
Olimpiki ya Mtoto mmisri inashikiliwa
kwa mwaka wa pili mfululizo. Toleo la kwanza lilishuhudia kuongezwa kwa zawadi
hizo kwa Waziri wa Vijana na Michezo hadi nusu milioni. Washiriki elfu 35
walishiriki katika mikoa yote ya Jamhuri
Comments