Utu una nyuso nyingi: daktari mmisri katika charo ya utabibu cha Korea kwa ajili ya kutibu maskini wa Tanzania
- 2020-02-18 11:29:38
Daktari mmisri katika kazi ya utu miongoni mwa timu ya
madaktari kutoka Korea , na inakusanya watu 19, kwa ajili ya kutibu maskini
nchini Tanzania, awe Rania Ihab Yonis daktari wa pekee anayewakilisha waarabu
na bara la Afrika, katika hema la madaktari huko jimbo la Sirengeti na
kulingana na kauli yake " pia mimi
ni wa pekee katika tibu ya meno" ameelezea furaha yake katika msaada wa ndugu wa Afrika,
akisisitiza kwamba amechukua ala zake
maalumu na mahitaji yake yote, wakati ambapo timu imegharimia makazi yake na
tekiti ya safari yake.
Nimeshafika siku ya
jumamosi mjini mkuu mwa Tanzania na nimewakabiliwa na timu iliyomambatana kuelekea jimbo linaloitwa Mwanza kisha kwa
jimbo " kitu kizuri katika safari
hii ni nimejifunza kiswahili nchini
Misri kabla ya safari kwa hivyo najua
namna ya kutendea vizuri pamoja na wagonjwa " nimechukua kozi ya kufundisha Kiswahili kabla ya safari
yake na amefaulu ngazi ya kwanza na ataendelea kukamilika baada ya kurudi mpaka
kufikia awamu ya juu"Nimejifunza na
wamisri hodari sana na niliwashukuru
kutoka hapa " amepata misaada kabla
ya safari yake inayojumuishwa katika
bingi , pamba na vitambaa na amechukua ala zake kutoka kliniki yake
maalumu.
Nimeona wagonjwa 50
miongoni mwa wagonjwa hawa ni 30
wanaohitaji kung'oa
meno,akiashiria kwamba tatizo la pekee lililomkabili katika safari yake
ni ugumu wa kutendea na timu ya korea
ambao hawazungumzi lugha ya kingereza ila watu wawili tu "Nimeshangaa sana
kwa maadili yao na kujali kwao nami nikiwa mwenye jinsia tofauti kati yao"
akisisitiza kwamba ni haitakuwa safari ya mwisho kwa bara la Afrika ,bali atasafiri kuelekea Congo Mwisho wa mwaka huu : "Nalipenda
Afrika na naona kwamba linawahitaji sisi sote".
Comments