Mnamo kipindi cha 21 mpaka 23 mwezi huu wa Feburari , Mji wa Kairo inawapokea mabingwa wa ulimwengu katika mchezo wa silaha ya shish katika michuano ya kombe la dunia la silaha ya shish nchini Misri mnamo mwaka wa 2020, mechi moja inayofikisha Olimpiki ya Tokyo mnamo mwaka wa 2020, na wachezaji 200 wanashindiana ndani yake na wanashikilia nchi 42 kutoka dunia miongoni mwao mabingwa wa Misri .
Abd Elmonium Elhuseny
mwenyekiti wa shirkisho la Silaha ya Shish alisema kuwa miongoni mwa nchi
zinazoshirki katika michuano ni Marekani ,Uingereza ,Italia ,Ufransa ,Korea
,Urusi ,Canda ,Barazil ,Ajentina na Uchina ambayo inawasili kwa Kairo kwa kweli
,Ukranie ,Uhispani ,Kroteh ,Ureno ,Kislovikya ,Taieland ,Magr ,Australia
,Tchek,Kobrs ,Ugirki ,Eldnmark ,Gorgea ,Bolnda ,Blgeka ,Nemsa ,Hong Kong
,Fnzwela na nchi nyingine.
Elhuseny
aliongeza kuwa kuna nchi nne za kiarabu
pia zinashirki katika michuano nazo ni
Misri ni mwenyeji ,Tunisia ,Kweti ,Algeria ,akibainika kuwa mashindano
yatafanyawa katika kumbi zilizofunikiwa kwenye uwanja wa Kairo kwa siku tatu
mnamo kipindi cha 21 mpaka 23 mwezi huu
wa Feburari kwa umoja na timu .
Mchezo wa silaha
ulihakiksha hivi karbuni mafanikio mapya kwa ushindi wa Mohamed Hamza mchezaji wa timu ya kitaifa kwa silaha ya
Elshish ni bingwa wa kwanza katika ulimwengu kwa medali ya dhahabu ya michuano
ya kombe la dunia kwa silaha ya Elshish kwa vijana nchni Ufaransa baada ya kumshinda bingwa wa Ufransa 6/15
wakati ambapo
Hamza alifikisha
fainali kwa ushindi dhidi ya mchezaji wa
Ufaransa pia kwa tija zile zile ,pia alifikia nusu ya fainali kwa ushindi dhidi ya bingwa wa Urusi 10/15
katika robo ya fainali .
Hamza alishinda bingwa wa Marekani katika zamu ya 16 kwa 9/15 ,Hamza alifikia zamu 16 kwa ushindi wa
bingwa wa Urusi kwa 12/15.
Hamza hivi karbuni alichukua nafasi ya 12 katika mashindano ya timu pamoja na
timu ya Silaha ya Elshish kwa wazima katika kombe la dunia huko Ufaransa
baada ya kushindwa katika kuchukua nafasi kutoka Ukranei kwa 28/45.
Mohamed Hamza mchezaji
wa silaha ya Elshish hivi karbuni alipatia nafasi ya 12 katika kombe la dunia
nchini Italia ,kiasi kwamba ameshaheshemiwa hivi karbuni katika Kongamano la
shirkisho la kitaifa kulingana na kuwepo
kwake mwanzoni mwa orodha ya uainishaji wa dunia .
Mohamed Hamza alitawazwa
mnamo 2019 uliopita kwa medali ya fedha kwa kombe la dunia kwa vijana nchini
Italia kwa silaha ya Elshish na medali ya shaba ya kombe la dunia kwa vijana
nchini Polanda kwa silaha ya Elshish ,wakati wa kuendelea kuwepo mwanzoni mwa uainishaji kwa msimu huu ,pia Ahmed Elsaid alitawazwa kwa medali
ya shaba kwa michuano wa vyuo vya Marekani kwa silaha ya uzio wa upanga .
Shirkisho la silaha
linahangaika kuendelea mafanikio ya
mchezo mnamo mwaka mpya ,inapaswa kuashiria ushindi wa Ayman Fayez kwa medali ya kidhahabu ya michuano ya
Marekani kwa silaha ya uzio wa upanga dhidi ya bingwa wa Marekani .
Comments