Wachezaji wanne wanaiwakilisha Misri katika michezo ya kiafrika kwa Taikondo inayofikisha michezo ya Olimpiki
- 2020-02-18 11:44:55
Wachezaji wanne kutoka timu ya kitaifa ya Taikondo wanacheza faiza kiafrika zinazofikisha olimpiki na zinazoamuliwa kufanyika mnamo siku za 22 , 23 mwezi wa Februari huko Elrebat mji mkuu wa Morocco
Na mashindano yanafanyika juu ya sebule ya Mfalme Abdullah (Jumba la Michezo) kwa kushiriki kwa wachezaji 105 ( wachezaji wanaume 63 na wachezaji wanawake 42) wanawakilisha nchi 36 na mashindano yanafanyika katika mizani nne ya Olimpiki kwa wanaume na wanawake , mizani ya wanaume ni kg -58 , kg - 68 , kg- 80 na kg +80 , ama mizani ya wanawake ni kg -49 , kg -57 , kg -67 na kg +73 na kila nchi ina haki ya kushiriki kwa wachezaji wawili wanaume na wachezaji wawili wanaume kwa kiwango cha juu na wachezaji wawili wa kwanza katika kila uzani wanafikia duru ya michezo ya olimpiki ya Tokyo inayoamuliwa kufanyika mnamo mwezi ujao wa Julai
Wachezaji wanne (
wachezaji wawili wanaume na wachezaji wawili wanawake ) wamechaguliwa na
shirikisho la kimisri la Taikondo kwa uongozi wa kocha Amr Salim , na kamati ya kiufundi kwa uongozi wa Ehab gaber
, Wafanyikazi wa kiufundi kwa uongozi wa Meneja mpya wa kiufundi wa Mexico
Oskar Salazar na makocha wawili Osama Elsayed na Mohammed Magdy .
Wachezaji hao wawili
ni: Abdul Rahman Wael katika mashindano yenye uzito wa kilo -68, na Saif Issa
katika mashindano ya uzani wa uzito -80. Na wachezaji wawili wa wanawake ni: Nour Hussein katika mashindano ya uzito
wa kilo - 49, na Hidaya Malak katika mashindano ya uzito wa kilo -67
Comments