Dokta Ashraf Sobhy waziri wa vijana na michezo alifunguliwa michuano ya kiarabu ya kumi na tano kwa Shuti na ubingwa wa shekhe Fatma binti Mubarak wa kimataifa kwa wanawake kwa Shuti unaofanyika mnamo kipindi cha 17-26 Februari katika uwanja wa klabu ya shuti huko Elharam na klabu ya uwindaji huko oktoba 6.
Matukio ya ufunguzi yameshuhudiwa na Vladimir Licini rais wa shirikisho la kimataifa kwa Shuti, Alexander Rantz katibu mkuu wa shirikisho la kimataifa kwa Shuti,mhandisi Duaij Khalaf Al Atabi rais wa shirikisho la kimataifa mkuu Hazem Hosny rais wa shirikisho la Misri kwa Shuti na idadi kutoka mabalozi wa nchi za kiarabu na wajumbe wanaoshiriki katika michuano.
Waziri wa michezo na vijana alisema : tunakaribisha wote katika nchi yao ya pili Misri, na mapokezi ya Misri kwa michuano hii yanathibitisha kujali kwa Misri kwa ndugu wa kiarabu kama ulivyowaahidi,tunafurahi kukaribishwa hafla za michezo na vijana nchini Misri, ninatamani mafanikio kwa ubingwa ule na nasubiri tija zake sio tu kwenye kiwango cha michezo na kiwango cha kuimarisha mahusiano kati ya nchi na wachezaji wanaoshiriki.
Rais wa shirikisho la kiarabu kwa Shuti alisisitizia furaha yake kwa kufanyika michauno katika Misri , akielekeza shukurani kwa Misri na kila mtu aliyechangia katika kuandaa ubingwa huu , akizungumzia mafanikio yaliyopatikana na waarabu katika ubingwa wa kimataifa, kwamba waarabu wote wanapata mafanikio katika olimpiki ijayo.
inakumbukwa kuwa michuano itashirikiwa na wachezaji wapigaji 400 kutoka nchi 15, Tunisia, Morocco, Algeria, Syria ,Yamn, Kuwait,Lebanon , Emirates, Kuwait, Bahrain, Iraq, Oman, Saudi Arabia, Ghana pamoja na Jamhuri ya kiarabu ya Misri mweneji .
Comments