Taasisi ya Afrikiat ya kisheria inamchagua mwanasheria Mmisri Omnia Taher Gadallah kama mwanachama wa bodi ya ushauri ya kimataifa kwa taasisi
- 2020-02-20 12:07:07
Omnia Taher Gadallah ni Mhadhiri msaidizi katika kitivo cha Kanuni na Sharia chuoni kikuu cha Alazhar , Mtafiti wa Uzamili katika chuo kikuu cha Al-Azhar na mwanzishi wa mpango wa " Jukwaa ni haki yake" mnamo mwaka wa 2014 ili kupambana kuzuia kwa kuteua wanawake wamisri kama jaji
Yeye alipata jina la "kiongozi wa mustakabali " kutoka wizara ya mambo ya kigeni ya kifaransa 2019 kama tathmini ya juhudi yake katika kuanzisha mpango wa " Jukwaa ni haki yake" , mwanachama wa chama cha kimataifa cha jaji nchini Marekani , Mjumbe wa heshima na mwakilishi wa Misri wa sauti ya mwanamke duniani kote
Yeye aliheshemiwa na taasisi ya mwanamke mpya ili kutatua haki ya mwanamke ya kujiunga mahakama 2016 , alipewa zawadi ya Vyombo vya habari bila ya mipaka kwa mojawapo wa makala matano ya kwanza yaliyotia mwanga juu ya mojawapo wa masuala ya kijinsia mnamo mwaka wa 2017 naye ni mzungumzaji katika mikutano mingi na ana Machapisho mengi kuhusu mwanamke wa kimisri katika mahakama
Omnia alihitimu mnamo mwaka wa 2013 kutoka kitivo cha sheria na chuo cha Alazhar pamoja na cheti cha Heshima , alichukua nafasi ya pili darasani , alipata Uzamili wa kwanza katika sheria kutoka chuo kikuu cha Ain Shams katika sheria ya biashara ya kimataifa na alisoma kozi ya sheria maalumu ya kimataifa katika Chuo cha Lahay kwa sheria ya kimataifa mnamo Julai 2018.
Comments