Wachezaji watatu wa mpira wa vinyoya waondoka Kairo kushiriki kwenye ubingwa wa Uganda wa kimataifa

 Alfajiri ya Jumatano, Ujumbe wa timu ya kitaifa ya kwanza ya mpira wa vinyoya umeondoka  ukielekea mji mkuu wa Uganda ,  Kambala ili kushiriki katika ubingwa wa Uganda wa kimataifa  unaofanyika mnamo kipindi cha 20 mpaka 23 mwezi huu wa Februari  .

Orodha ya timu inajumuisha "ADHAM HATEM GAMAL , HADYA HOSNI na DOHA HANY "

watatu hawa wamefanikiwa kupewa taji la medali za tatu za shaba katika mashindano ya mtu mmoja kupitia michuano ya Afrika kwa wazima unaokaribishwa huko Kairo mnamo kipindi cha 10 mpaka 16 mwezi huu wa Februari , pia wachezaji wawili ADHAM GMAL na DOHA HANY wamepata medali ya dhahabu , wakati ambapo HADAYA HISNY na DOHA HANY wamepata medali ya dhahabu ya wanawake.  

Shirikisho la  mchezo kwa uongozi wa Hesham Eltohamy linataka kuwaandaa wachezaji wengine zaidi kwa olimpiki ya  Tokyo 2020.

Comments