Waziri wa vijana anajadili maandalizi ya mkutano wa dunia na afisa wa shirika la Skauti ya ulimwengu
- 2020-02-24 12:53:12
Dokta Ashraf Sobhy waziri wa vijana na michezo alimpokea Mhadi bin Khalil mjumbe wa shirika la Skauti ya ulimwengu jioni ya siku ya jumatano na mkutano uliendelea ili kujadili maandalizi ya kukarbisha mkutano wa Skauti ya ulimwengu namba 42 unaokaribishwa kwa Misri mnamo Agosti mwaka wa 2020 mjini wa Sharm Elshekh chini ya ulinzi wa Rais Abd Elfatah Elsisi Rais wa Jamhuri kwa ushirki wenye Skauti 3000 wanaoshikilia nchi 171 .
Wakati wa mkutano,
Dokta Ashraf Sobhy waziri wa vijana na michezo alisistizia kuwa vyombo vyote
vya nchi vinafanya katika ushirkiano ili kutokeza mkutano katika sura bora
zaidi , jambo lililoonyeshwa kupitia matukio yote ya kimchezo na kivijana
yaliyopangwa kwa Misri mnano muda
iliyopita na iliifanyika kituo cha dunia kwa harkati za vijana na kimchezo pia
zinatoa uwezo tofauti wa kuandaa .
Waziri wa vijana na michezo aliongeza kuwa nchi inachukua
umuhimu mkubwa ili kufanya harkati ya Skauti katika jamii kwa sababu ya kueneza uaminfu na kujitolea kati ya
washirika .
Kutoka upande wake ,Mahdi bin Khalil aliusifu uwezo wa Misri
juu ya kuandaa , naye aliona hivyo
kupitia ziara zake na mikutano yake
pamoja na maafisa wa wizara na shirkisho kuu la Skauti .
Mkutano wa Skauti wa
ulimwengu nchini Misri unakuja pamoja na
kupitisha muda wa miaka 100 juu ya kuandaa mkutano wa kwanza wa
Skauti huko London mnamo mwaka wa 1920.
Na mkutano ulihudhuriwa na Yousef Elwrdani msaadizi wa waziri wa kuboresha uwezo wa vijana ,Mustafa Mansor rais wa idara kuu kwa mashirika ,Eman Abd Elgabr mkurgunzi mkuu wa mashirika ,Hasan Khalf mkurgunzi mkuu wa masula ya kifedha ,Mohamed Abas mwenyekiti wa shirkisho kuu kwa Skauti ,Montsr Hosny mshauri wa mkutano .
Comments