Ashraf Sobhy anampokea waziri msaidizi wa mambo ya nje wa marekani kwa masuala ya kielimu na kiutamaduni
- 2020-02-24 12:57:12
Dokta Ashraf Sohby waziri wa vijana na michezo alikutana na Mary Rues waziri msaidizi wa mambo ya nje kwa masuala ya kielimu na kitamaduni kwa mahudhurio ya Balozi Gonas Kuhen balozi wa Marekani huko Kairo, wakijadiliana njia za ushirikiano kati ya wizara na ubalozi katika uwanja michezo wa vijana.
Sobhy
akiwakaribisha waziri msaidizi wa mambo ya nje kwa masuala ya
kielimu na kiutamaduni na Bwana Jonsan
Kuhen Balozi wa Marekani huko Kairo akielezea kwamba mahusiano kati ya nchi hizo
mbili ni nguvu na zinaungana na masilahi
ya pamoja katika nyanja nyingi tofauti.
Akiongeza kuwa wizara ina maoni ya kutosheleza haki kwa watu
wote kwa kufanya mazoezi ya michezo,
nayo ni haki asili kwa wote , kufanya
kazi ya kueneza michezo tofauti katika pande zote za Jamhuri , pia alisisitiza
kwamba wizara inafanya kazi pamoja na taasisi za jamii ya kiraia ili kufikia idadi kubwa ya
vijana kama iwezekanavyo.
Mary alieleza furaha yake kukutana na Dokta Ashraf
Sobhy akitamani kukuza mahusiano zaidi mnamo siku zijazo.
Na inapangwa kutumwa Mswada mnamo kipindi kijacho kwa
majadiliano kabla ya kufikia makubaliano
yatakayotiwa saini kati ya pande hizo mbili na kuanza kazi.
Mkutano huo ulihudhuriwa na Ghada Hussein, mkurugenzi mkuu
wa mahusiano ya kimataifa katika baraza l la kitaifa kwa michezo , Ridha Saleh
mkurugenzi mkuu wa mahusiano ya nje katika baraza la kitaifa kwa vijana , Bary Rogoff, mshauri
maalumu wa balozi wa Marekani, Na Rachel
leasley , mhusika wa kiutamaduni katika ubalozi.
Comments