Dokta Ashraf Sobhy
waziri wa michezo na vijana,
Jumamosi kwenye Makao ya wizara alimpokea Balozi
Ehab Nassr Balozi wa Misri nchini Urusi, kwa ajili ya kujadili
ushirikiano katika nyanja za michezo na vijana kati ya Misri na Urusi katika mfumo
wa mipango ya ushirikiano wa pamoja na
nchi hizo mbili.
Mkutano huo ulijadili mzungumzu juu ya mipango maarufu
inatekelezwa mnamo mwaka wa ushirikiano
wa wanadamu kati ya Misri na Urusi
unaotekelezwa kwa mara ya kwanza katika historia ya nchi mbili .
Kama inavyojadiliwa pendekezo la mpango wa hatua katika
nyanja za michezo na vijana kupitia maoni
ya kimisri yanayotarajiwa kuyatekeleza kati ya Misri na Bella Urusi ,
pamoja na uwezekano wa kuanzisha kambi
la vijana kati ya nchi hizo mbili linalokusanya
shughuli katika nyanja za Utamaduni , Sanaa, Michezo, Muziki na Sayansi
kwa kusudi la kubadilishana tamaduni na kuongeza mawasiliano kati ya vijana wa
nchi hizo mbili.
Waziri wa vijana na michezo alisisitiza ushirikiano kati ya Misri pamoja na Urusi na Bella Urusi katika nyanja za vijana
na michezo, akiashiria shime ya kuongeza
ushirikano katika viwango vya vijana na michezo kubadilishana uzoefu juu ya
viwanda vya michezo na upande wa Urusi.
Dokta Ashraf Sobhy
alielekeza haraka ya uchunguzi wa
mapendekezo na maoni maalumu kwa kutekleza ushirikiano pamoja na Urusi na Bella
urusi kwa kuanza taratibu za utekelezaji
wa programu za ushirikiano.
Mkutano ulihudhuriwa
na , Ghada Hussein mkurugenzi mkuu wa
mahusiano ya kimataifa katika baraza la kitaifa kwa michezo, Ridha Saleh
mkurugenzi mkuu wa mahusiano ya nje katika baraza la kitaifa kwa vijana.
Comments