Nour Hessien mchezaji wa timu ya kitaifa kwa Taikondo , alifikia duru ya michezo ya kiolimpiki ya Tokyo baada ya ushindi wake katika mechi ya nusu fainali mbele ya mchezaji wa Tunisia Shaimaa Tomi kwa 14_4 kwenye fainali za kiafrika za Taikondo zilizfikisha Olimpiki na kufanyika sasa hivi mjini El Robat , Morocco.
Baada ya kushinda kwake kwenye nusu fainali, Nour alipata kadi ya kiolimpiki ambapo wachezaji wawili wa kwanza katika kila uzito wanafikia kikao cha michezo ya olimpiki .
Nour amefikia nusu fainali baada ya mafanikio yake kwenye mechi ya nane mbele
ya mchezaji wa Burundi Aida Keven Bama kwa
0_9 .
Misri inakabili mashindano ya michuano kwa wachezaji wanne (
wanaume wawili na wanawake wawili ) wanaume ni : ABDELRAHMAN WAEL kwenye
mashindano ya uzito wa kilo 68 , na SIEF ESSA Kwenye mashindano ya uzito wa
kilo 80 . Wanawake ni : NOUR HESSIEN kwenye mashindano ya uzito wa kilo 49 , na
HEDAYA MALAK kwenye mashindano ya uzito wa kilo 67 .
Timu ya kimisri inaongozwa na Kocha wa kiufundi kutoka Maksik
Oscar Salazar , na makocha wawili Osama Elsaid na Mohammed Magdy
Comments