Waziri wa Michezo atawaza washindi wa mashindano ya Kombe la Dunia kwa Kwa silaha ya shish
- 2020-02-26 18:59:21
Dokza Ashraf Sobhy Waziri wa Vijana na Michezo, na Abd El Moneim El-Husseini Rais wa Shirikisho la kimisri kwa Silaha na maafisa wa Shirikisho la Kimataifa, walitawazwa washindi wa nafasi za kwanza kwenye Mashindano ya kombe la Dunia kwa silaha ya shish yaliyofanyika nchini Misri mnamo kipindi cha Februari hii 21 hadi 23.
Sehemu za ukambi wa uwanja wa Kairo zilipokea mashindano za Kombe la Dunia kwa shish, ambayo ni mojawapo ya raundi yaliyofikisha Olimpiki ya Tokyo 2020, na Idadi ya wachezaji waliowekwa kimataifa walioshindana kutoka nchi 42 Kutoka ulimwenguni kote.
Timu ya Marekani ilishinda nafasi ya kwanza, na timu ya Urusi ilikuwa ya pili, Hong Kong inashika nafasi ya tatu, na timu ya kimisri ilifika katika nafasi ya sita, inayoifikisha Olimpiki ya Tokyo 2020.
Pembezoni mwa mwisho wa mashindano, Dokta Ashraf Sobhy alikutana na wachezaji wa timu ya taifa ya kimisri kwa silaha ya shish hiyo na vifaa vya kiufundi,ambapo akiwapongeza kwenye kushinda Mchezo wa Olimpiki ya Tokyo 2020 kupitia mashindano ya michuano.
Pia Waziri huyo aliipongeza Bodi ya Wakurugenzi ya Shirikisho kwa kushinda timu ya wanawake kwa Olimpiki ya Tokyo baada ya kushinda katika mashindano ya Kombe la Dunia huko Kazan, Urusi.
Waziri wa Vijana na Michezo alisisitizia kuzingatia kamili na maandalizi mazuri kwa wachezaji wa timu ya silaha, na utekelezaji wa mpango wa mafunzo uliowekwa na Shirikisho katika kujiandaa na mashindano ya kikao cha michezo ya Olimpiki huko Tokyo 2020, akiwataka wachezaji kufanikiwa na kutoa utendaji bora na kushinda medali ya Olimpiki.
Dokta Ashraf Sobhy alishiria ufuatiliaji unaoendelea na mashirika ya michezo ili kutambua juu ya maandalizi ya mashindano yanayostahili ya Olimpiki ya Tokyo, na vile vile kuangalia maendeleo ya mafunzo kwa wachezaji waliofikia Olimpiki hadi sasa.
Comments